MICHAEL OLISE KWENYE RADA ZA MANCHESTER UNITED
MICHEZO Klabu ya Manchester United imewekeza nguvu kubwa zaidi kwenye mchakato wa kuipata saini ya winga wa Crystal Palace na Ufaransa, Michael Olise, kuelekea dirisha lijalo la majira ya kiangazi.…
MICHEZO Klabu ya Manchester United imewekeza nguvu kubwa zaidi kwenye mchakato wa kuipata saini ya winga wa Crystal Palace na Ufaransa, Michael Olise, kuelekea dirisha lijalo la majira ya kiangazi.…
Wafanyakazi kwenye nyumba ya staa huyo mshindi wa Kombe la Dunia na Argentina mwaka 2022, walisema walikutana na ujumbe uliokuwa na vitisho vya vifo kama ataendelea kucheza kwenye moja ya…
MICHEZO Rais wa zamani wa Shirikisho la soka nchini China, ambaye alikiri kupokea rushwa, amehukumiwa kifungo cha maisha jela.Vyombo vya habari vya serikali vya China vimeripoti leo kama sehemu ya…
MICHEZO Kikosi cha Mamelodi Sundowns ambacho kinatarajiwa kutua nchini kesho Jumatano (Machi 27) kitakuwa bila nahodha wake Themba Zwane, ambaye hatacheza mchezo wa Jumamosi (Machi 30). Mamelodi itatua nchini na…
MICHEZO Rais wa FC Barcelona, Joan Laporta amesisitiza kwamba anataka Xavi Hernandez abaki kama kocha wa klabu hiyo baada ya msimu wa 2023/24. Xavi alitangaza nia yake ya kuondoka Barca…
MICHEZO Baada ya mlinzi wa Arsenal Wiliam Saliba kukosekana katika kikosi cha timu ya taifa Ufaransa na watu kuhoji, kocha wa kikosi hicho Didier Deschamps ameibuka na kusema mlinzi huyo…
MICHEZO Rais wa FC Barcelona Joan Laporta amekiri kuwa klabu hiyo imekataa ofa ya Pauni milioni 200 (sawa na Sh bilioni 551) kwa ajili ya Lamine Yamal. Taarifa hiyo imetolewa…
MICHEZO
Klabu za AC Milan na Juventus zinaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Fiorentina na Morocco, Sofyan Amrabat ambaye kwa sasa anaichezea Manchester United kwa mkopo.
Hadi sasa Man United haijaonyesha nia ya kutaka kumsainisha mkataba wa kudumu Amrabat aliyejiunga nao katika dirisha lililopita la majira ya baridi.
Amrabat alijiunga na Man United kwa mkopo uliokuwa na ada ya Euro 9 milioni na kuna kipengele cha kumnunua mazima kwa Euro 25 milioni.
Juventus ndio imeripotiwa kuwa ya kwanza kutaka kumsajili staa huyu lakini Milan nayo imeibuka katika siku za hivi karibuni, na ndio inaonekana kuwekeza nguvu kubwa zaidi.
Milan inataka kumsajili Amrabat kwa sababu inapitia changamoto eneo lao la kiungo hususani katika upande wa kuzuia.
Amrabat alitua Man United baada ya mashetani hao wekundu kushinda vita dhidi ya Barcelona.
Tangu atue Man Utd, kiungo huyu amecheza mechi 22 za michuano yote na Mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwaka 2025.
(more…)
MICHEZO Beki wa kulia wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold yuko kwenye rada za Real Madrid kabla ya kumalizika kwa mkataba wake mwaka 2025, kwa mujibu wa ripoti. Alexander-Arnold yuko katika miezi…
MICHEZO Kocha Mkuu wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso anatarajiwa kupendelea kuhamia Bayern Munich ikiwa ataamua kuondoka katika timu yake ya sasa msimu unaokuja wa majira ya joto, ripoti imedai. Alonso…