AJALI YAUA KOCHA NA GOLIKIPA
MICHEZO Kikosi cha klabu ya MC El Bayadh inayoshiriki ligi kuu ya Algeria kimepata ajali mbaya jumatano ya Desemba 20,2023 wakati kikiwa njiani kuelekea kwenye mechi ya ligi na kupelekea…
MICHEZO Kikosi cha klabu ya MC El Bayadh inayoshiriki ligi kuu ya Algeria kimepata ajali mbaya jumatano ya Desemba 20,2023 wakati kikiwa njiani kuelekea kwenye mechi ya ligi na kupelekea…
MICHEZO
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini Novatus Dismas anakaa sana benchi ,je hana uwezo? au mabadiliko kwenye benchi la ufundi ni sababu ya kijana huyo kukosa nafasi ya kucheza?
Kwa mujibu wa Mwandishi mmoja wa habari nchini Ukraine 🇺🇦 amenukuliwa akisema;-
(more…)
MICHEZO Mabingwa wa Afrika, AL AHLY wametolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa ya Dunia baada ya kuruhusu kufungwa magoli 2-0 magoli ya Jhon Arias 70' na John Kennedy 90'…
MICHEZO Klabu ya West Armenia inayoshiriki ligi kuu ya Armenia 🇦🇲 imevunja mikataba ya wachezaji wawili raia wa Tanzania, Yusuf Athuman na Erick Mwijage kwa makubaliano ya pande zote mbili.…
MICHEZO Kocha wa AS Roma, Jose Mourinho amesema Josep Pep Guardiola amekuwa akitumia pesa nyingi kununua wachezaji huku akisikitishwa na klabu yake ya AS ROMA kushindwa kununua wachezaji kutokana na…
MICHEZO Wachezaji 13 wa Manchester United wapo kwenye hatari ya kutokucheza mechi kati yao na Liverpool mnamo Desemba 17,2023 huku sababu zikieleza kuwa ni majeraha. Kocha wa Manchester United, Eric…
MICHEZO Shirikisho la soka la kimataifa Duniani (FIFA) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kutokusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wao, Gael Bigirimana ambaye alivunjiwa mkataba na…
MICHEZO Mchezo wa Ligi kuu ya Uhispania (LALIGA) kati ya wenyeji Granada na Athletic Bilbao umelazimika kuhairishwa kufuatia kifo cha shabiki wa Granada kwenye uwanja wa Nuevo Los Cármenes. Athletic…
MICHEZO Manchester United wameulizia upatikanaji wa Mshambuliaji wa Stuttgart. Sehrou Guirassy katika juhudi za kuimarisha safu yao ya ushambuliaji mwezi Januari. GUIRASSY anaepatikana kwa takribani paundi milioni 17, amezivutia timu…
MICHEZO Bosi wa klabu ya Chelsea, Toddy Boehly , amedhamiria kuweka rekodi kwa kumsajili nyota wa Nigeria na Mshambuliaji wa Napoli ya Tulin , Victor Osimhen ,wakati wa dirisha la…