VARANE NA ERIC TEN HAG NGOMA NZITO MANCHESTER UNITED
MICHEZO Kocha wa Manchester United, Eric Ten Hag ametupilia mbali ripoti kuwa kuna tatizo kati yake na beki wake Raphael Varane na kusisitiza kwamba kukaa kwake benchi ni kutokana na…
MICHEZO Kocha wa Manchester United, Eric Ten Hag ametupilia mbali ripoti kuwa kuna tatizo kati yake na beki wake Raphael Varane na kusisitiza kwamba kukaa kwake benchi ni kutokana na…
MICHEZO Aliyekuwa kocha mkuu wa Simba SC. Robertinho amekosoa usajili uliofanywa uliofanywa na klabu hiyo kwenye usajili wa dirisha lililopita akidai haukuwa na tija yoyote kutokana na idadi kubwa ya…
MICHEZO Msemaji wa Yanga sc, Ally Shaban Kamwe amewaomba mashabiki wa klabu hiyo, siku ya jumapili asubuhi kila mmoja abebe chapati zake,maandazi,vitumbua aje navyo pale jangwani kwani supu itagawiwa bure.…
MICHEZO Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga, Ally Shaban Kamwe amewataka mashabiki wa klabu hiyo kusimama na kuinua mkono mmoja juu Ikafika dakika ya tano ya mchezo…
MICHEZO Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kocha wake Mkuu Roberto Oliviera Concaives Do Carmo (Robertinho). Vilevile nae kocha wa Viungo Corneille Hategekemana…
MICHEZO
Klabu ya Ac Milan imetangaza haikuwa inafahamu chochote kuhusu uraibu wa kucheza kamari wa kiungo wake wa zamani, Sandro Tonali kabla ya kumuuza kwenda Newcastle United ya EPL.
(more…)
SPORTS. Chelsea is now at quarterfinal of Carabao cup after the win of 2-0 yesterday. These are scenarios by photo 📸
MICHEZO Cristiano Ronaldo achekeshwa na maneno ya Mwandishi wa habari aliyekuwa akizungumzia tuzo za Ballon d'Or ya nane ya Mshambuliaji Lionel Messi na kuutafsiri kama "upendeleo ". Ronaldo aliweka comment…
MICHEZO Rais wa zamani wa chama cha soka Uhispania, Luis Rubialles amefungiwa kujihusisha na soka kwa miaka mitatu. Awali Rais huyo alifungiwa kujihusisha na soka kwa siku 90 na FIFA…
MICHEZO Ripoti kutokea Colombia zinaeleza kuwa wazazi wa Mshambuliaji wa Liverpool Luis Diaz walitekwa nchini humo lakini hadi sasa mama amepatikana. Wakati wakielekea nyumbani kwao wawili hao walizingirwa na watu…