TONALI AFUNGIWA MIEZI 10 KISA KUBET
MICHEZO Kiungo wa Newcastle United, Sandro Tonali amefungiwa miezi 10 kutojihusisha na masuala ya soka kwa kukiuka taratibu za soka za nchini Italia. Tonali atatumia miezi 8 kushiriki katika mpango…
MICHEZO Kiungo wa Newcastle United, Sandro Tonali amefungiwa miezi 10 kutojihusisha na masuala ya soka kwa kukiuka taratibu za soka za nchini Italia. Tonali atatumia miezi 8 kushiriki katika mpango…
MICHEZO Inaripotiwa kuwa klabu ya Al-Nassr kutoka ligi kuu ya Saudia Arabia, imedhamiria kumsajili kiungo wa Manchester City, Kelvin De Bruyne. Tayari klabu hiyo imewasiliana na wakala wa mchezaji huyo…
MICHEZO Mshambuliaji wa Barcelona, Ferran Torres amemzawadia marehemu bibi yake bao alilolifunga dhidi ya Shakhtar Donetsk ya Mtanzania Novatus Dismas Miroshi:- "Hii ni kwaajili yako bibi Yalisomeka maneno kwenye jezi…
MICHEZO Mwandishi nguli wa habari za michezo, Fabrizio Romano amethibitisha kuwa Lionel Messi ndiye mchezaji bora wa mwaka wa jarida la habari la Ufaransa la France Football Balloon d'Or. Romano…
MICHEZO Kuelekea michezo ya hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba na Al Ahly, katika dimba la Cairo ,imebainika sasa kuwa goli la ugenini…
MICHEZO Nyota wa Real Madrid ,Vinicius Junior ametoa pongezi kwa klabu ya Seville kwa kuchukua kwa hatua za haraka za kumtoa uwanjani na kuripoti kwa mamlaka shabiki wake kwa madai…
MICHEZO Kufuatia shutuma za Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa, Gerald Darmanin, kuwa Karim Benzema "ana uhusiano " na kundi la kigaidi la Muslims Brotherhood, seneta wa Ufaransa Valerie…
MICHEZO
Klabu ya Barcelona ipo kwenye vita kali na Real Madrid kuwania saini ya mchezaji wa Manchester City, Julian Alvarez.
Barca wanalazimika kurejea sokoni baada ya Mshambuliaji wao ,Robert Lewandowski kupata majeraha na kupelekea kutetereka kwa safu yao ya ushambuliaji ,jambo ambalo limefanya kuamua kuelekeza nguvu zao zote kwa Mshambuliaji huyo wa Manchester City, Julian Alvarez.
Mabingwa hao watetezi wa ligi ya La Liga walifanikiwa kuinasa saini ya kinda wa Athletico PR, Vitor Roque kutoka Brazil kabla ya Mshambuliaji huyo kupata jeraha la kifundo cha mguu ,ambapo anatarajiwa kuwa fiti kabla ya kuhamia rasmi Barcelona, mwezi Januari.
Ingawa Vitor Roque anaweza kuwa mchezaji bora katika siku zijazo,klabu hiyo itahitaji mchezaji imara ambaye anaweza kusaidiana na Lewandowski anayeelekea ukingoni.
Mshindi huyo wa kombe la Dunia na Argentina, yuko katika kiwango cha hali ya juu msimu huu baada ya kupachika mabao 6 na kutoa msaada wa goli 5 katika mechi 13 za Manchester City kwenye mashindano yote,Manchester City inashiriki Ligi kuu ya England.
(more…)
MICHEZO Wachezaji wa Simba washindwe wao tu sasa hivi hiyo ni baada ya kuhakikishiwa kupewa pesa ya maana katika michezo miwili ya robo fainali ya AFL dhidi ya Al Ahly.…
Michezo Rais wa klabu ya Barcelona, Joan Laporte, ashtakiwa kwa kula rushwa kufuatia malipo yaliyofanywa kwenda kwa makampuni yanayohusishwa na aliyekuwa makamu wa Rais wa kamati ya waamuzi, Jose Maria…