Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kiongozi bora wa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika kwa Mwaka 2023 (African Leadership Person of the Year) kama Kiongozi Bora wa Mwaka katika Amani na Usalama barani Afrika.

Katika hotuba ya Dkt. Kikwete wakati wa hafla hiyo iliyoandaliwa na Jarida la Uongozi Afrika (ALM) jijini Addis Ababa, Ethiopia ameshukuru kwa kutunukiwa tuzo hiyo na kuwasihi Waafrika wote kwenye…

Continue ReadingRais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kiongozi bora wa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika kwa Mwaka 2023 (African Leadership Person of the Year) kama Kiongozi Bora wa Mwaka katika Amani na Usalama barani Afrika.

PAUL ALEXANDER BINADAMU ALIYEISHI NA MAPAFU YA CHUMA KWA ZAIDI YA MIAKA 70 AMEFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 78…

Paul Alexander, alikabiliwa na changamoto nyingi za kiafya tangu alipozaliwa mwaka 1946. Alexander alikua moja ya waliokumbwa Kwenye mlipuko mbaya zaidi wa ugonjwa wa Polio katika historia ya Marekani ambao…

Continue ReadingPAUL ALEXANDER BINADAMU ALIYEISHI NA MAPAFU YA CHUMA KWA ZAIDI YA MIAKA 70 AMEFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 78…