JOHN CENA APANDA JUKWAANI AKIWA UCHI
NYOTA WETU Mwanamieleka wa zamami ambaye kwa sasa Muigizaji John Cena amewashangaza wengi baada ya kupanda kwenye Jukwaa la tuzo Oscars 2024 jana Machi 10, 2024 na kutangaza washiriki wa…
NYOTA WETU Mwanamieleka wa zamami ambaye kwa sasa Muigizaji John Cena amewashangaza wengi baada ya kupanda kwenye Jukwaa la tuzo Oscars 2024 jana Machi 10, 2024 na kutangaza washiriki wa…
NYOTA WETU Mtangazaji wa kike wa Televisheni mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Kapinga Kisamba Clarisse amejizolea umaarufu baada ya kuonekana akiwa anasoma taarifa ya habari akiwa amembeba…
MICHEZO Kocha wa timu ya Taifa ya kandanda ya Senegal, Aliou Cissé, ameteuliwa tena kuwa Kocha Mkuu hadi mwaka wa 2026, lilitangaza Shirikisho la soka la Senegal (FSF) katika video…
NYOTA WETU Bondia Francia Ngannou raia wa Cameroon amewaomba radhi mashabiki wake kwa kuwaangusha kufuatia kichapo cha 'Knock Out' kwenye raundi ya pili kutoka kwa Anthony Joshua. Anthony Joshua alishinda…
NYOTA WETU Miss Czech Krystyna Pyszko ametangazwa kuwa mshindi wa shindano la ulimbwende la Dunia “Miss world 2024”na kuwashinda warembo 111 kutoka nchi mbalimbali duniani na kuvikwa taji la Miss…
NYOTA WETU Mwanamitindo wa Uingereza, Alyssa Jay anadai alipokea "ujumbe wa matusi" kutoka kwa mchezaji kandanda wa Everton baada ya kukataa kumtumia picha za utupu kwenye mtandao wa Snapchat.Alyssa Jay…
NYOTA WETU Sakata la mshambuliaji Prince Dube limeingia sura mpya baada ya nyota huyo raia wa Zimbabwe kudai ndani ya klabu ya Azam viongozi wa klabu hiyo hufurahia mafanikio ya…
NYOTA WETU Mwanamuziki Taylor Swift alipokea ofa kubwa ambayo haijawekwa wazi kutoka Singapore ili kutumbuiza katika taifa hilo Asia ya Kusini-Mashariki wakati wa ziara yake ya Eras, kitendo ambacho kimeibua…
NYOTA WETU Kwa mara nyingine tena Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, alimuomba Msaidizi wake kumsomea somo la katekisimu wakati wa misa ya Jumatano. Papa aliongoza misa hiyo…
NYOTA WETU Rais wa Senegal Macky Sally amechukua hatua ya Uchaguzi Mkuu wa Urais kufanyika Machi 24,2024 ikiwa ni baada ya siku za hivi karibuni Mahakama ya kikatiba kutupilia mbali…