MISS TANZANIA HALIMA KOPWE ATINGA 10 BORA
NYOTA WETU Mrembo wa Tanzania, Halima Kopwe ameingia katika kumi bora kwenye kipengele cha ushindani cha 'Beauty with Purpose Project' kwenye shindano la ulimbwende la dunia (Miss World) linaloendelea nchini…