AZIZ KI AITWA BURKINA FASO
NYOTA WETU Nyota wa Yanga ,Stephanie Aziz Ki amepenya kwenye mchujo wa mwisho wa kocha Hubert Velud na sasa atakuwa miongoni mwa nyota 27 wa taifa la Magharibi mwa Afrika…
NYOTA WETU Nyota wa Yanga ,Stephanie Aziz Ki amepenya kwenye mchujo wa mwisho wa kocha Hubert Velud na sasa atakuwa miongoni mwa nyota 27 wa taifa la Magharibi mwa Afrika…
NYOTA WETU. Mtandao wa FourFourTwo umetoa orodha ya wanasoka 100 waliofanya vizuri mwaka 2022 hadi 2023 ila kwa mshangao mkubwa nyota wa klabu ya Al-Nassr Fc ya Saudia Arabia Mreno,Cristiano…
NYOTA WETU. Taarifa zilizopo ni kuwa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam imemalizana na nyota wake raia wa Burkina Faso 🇧🇫, Stephanie Aziz Ki juu ya kuongeza mkataba…
NYOTA WETU Klabu ya Simba imewasimamisha, Clatous Chama na Nassor Kapama huku kukiwa na taharuki ,je wawili hao wamegomba kambini? Au ni sababu gani zinawafanya waonekane watovu wa nidhamu? Kwa…
NYOTA WETU Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametuma ujumbe wa pongezi kufuatia ushindi wa Rais wa Misri ,Abdel Fattah kwenye uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, mawasiliano ya ikulu…
NYOTA WETU. Saddam Hussein aliendelea kukimbia kwa muda wa miezi nane baada ya uvamizi ulioongozwa na Marekani nchini Iraq 🇮🇶 mwaka 2003 wa kuhakikisha unamuondoa madarakani. Hatimaye alikamatwa karibu na…
Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imethibitisha kuwa haina mpango tena na nyota wa Tanzania, Simon Msuva ambaye alijiunga na klabu hiyo Mwezi Julai 2023. Taarifa ya klabu imeeleza kuwa…
NYOTA WETU Rapa na mbunifu Kanye West ambaye kwasasa anatambulika kama Ye , anauza mjengo wake wa kifahari uliobuniwa na Tadao Ando uliopo Malibuli ,California kwa dola milioni 53 sawa…
NYOTA WETU Msanii wa Dancehall , Sean Paul ameongoza kwenye orodha ya Wanamziki wa Dancehall waliosikilizwa zaidi Duniani kwenye jukwaa la mtandao wa kijamii wa Spotify. Mshindi huyo wa tuzo…
NYOTA WETU. Mwanamziki wa Nigeria, Tiwa Savage amelipa kiasi cha Naira bilioni 1.7 sawa na bilioni 5.4 za Tanzania kwaajili ya nyumba yake mpya iliopo jiji London, Uingereza. Nyumba hiyo…