CARDI B AWEKA REKODI MPYA TIKTOK
NYOTA WETU. Cardi B amevunja rekodi ya TikTok kwa onyesho lake la live kwa kupata watazamaji wengi zaidi,rekodi iliokuwa ikishikiliwa awali na Ed Sheran. Cardi B kupitia TikTok amepata watazamaji…
NYOTA WETU. Cardi B amevunja rekodi ya TikTok kwa onyesho lake la live kwa kupata watazamaji wengi zaidi,rekodi iliokuwa ikishikiliwa awali na Ed Sheran. Cardi B kupitia TikTok amepata watazamaji…
NYOTA WETU. Rapa BlueFace alikaa kwenye mahojiano kwa muda usiozidi sekunde 30 na mchekeshaji maarufu, Funny Marco,mnamo siku ya Desemba 5,2023. BlueFace alisusia mahojiano hayo baada ya kugundua mwendeshaji wa…
NYOTA WETU. Sean Combs "Diddy " ameshtakiwa kwa ubakaji na ulanguzi wa ngono kwa msichana wa shule mwenye umri wa miaka 17,alipokuwa darasa la 11 katika madai ya nne ya…
NYOTA WETU. Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta alipotembelea huko siku za hivi karibuni. Rapa huyo wa kundi la Migos kwa kushirikiana na mfuko wa familia wa Ann Cephus (AFCC),…
NYOTA WETU. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametajwa kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi walioorodheshwa katika jarida la Forbes la wanawake wenye uwezo…
MICHEZO Orodha ya wasanii 5 hapa Tanzania wanaofanya vizuri kwenye game ya Bongo Fleva. 5. APPY . "WATU FEKI" ilivyoanza kufanya vizuri ,jina la Appy likaanza kupaa . Nyimbo nyingine…
NYOTA WETU. Mchezaji wa Chelsea Levi Colwill anasema;- "Nimefurahi kufunga goli langu la kwanza kwenye ligi kuu ya England na goli langu la kwanza ndani ya Chelsea. Bahati mbaya nimefanya…
NYOTA WETU. Aliyekuwa mlinzi binafsi wa Lil Wayne amefungua mashtaka dhidi ya rappa huyo ,akidai kuwa msanii huyo wa YMCMB alitishia kumpiga risasi wakati wa ugomvi wao uliotokea mwaka 2021.…
NYOTA WETU. Kwa mujibu wa jarida la Digital Platform, Rema ndiye mwimbaji aliyefanya vizuri zaidi Afrika kwenye mtandao wa Spotify kwa mwaka 2023 kwa kufikisha streams zaidi ya bilioni 1.6,…
NYOTA
Muigizaji wa muda mrefu nchini ,Wema Sepetu amefunguka wazi na kuelezea kuwa wanaume wengi hawapendi tabia za wapenzi wao kuwaomba pesa kwa kusudi la kupima upendo wao wa kweli.
Kulingana na ,Wema,kumekuwa na tabia nyingi kutoka kwa wanawake kutoamini upendo wa kweli wa wapenzi wao jambo ambalo wameiweka kasumba ya kuitisha wanaume wao hela ovyo ovyo ili kutambua iwapo wanapendwa.
(more…)