Historia ya Mwanamziki Diamond platnumz
Nasibu Abdul Juma Isaac (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz; majina mengine ya kisanii ni kama Chibu, Simba, Nasibu kichwa, Simba la masimba ama Dangote; alizaliwa Dar es…
Nasibu Abdul Juma Isaac (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz; majina mengine ya kisanii ni kama Chibu, Simba, Nasibu kichwa, Simba la masimba ama Dangote; alizaliwa Dar es…
Gayton McKenzie, mwanasiasa wa upinzani ambaye safari yake ya maisha imezungukwa na matukio kadha wa kadha kuanzia kuwa jambazi sugu hadi mmiliki wa klabu ya burudani yenye utata, sasa ameteuliwa…
Mwimbaji wa R&B na pop wa Marekani Usher Raymond IV (Usher ) ametoa hotuba ya kusisimua wakati akipokea tuzo ya mafanikio ya maisha katika Tuzo za BET zilizofanyika usiku wa…
Mkali wa wimbo wa Water kutoka nchini Afrika KusiniTyla Laura Seethal maarufu kwa jina la Tyla, amenyakua tuzo yake ya kwanza ya BET katika hafla iliyofanyika usiku wa kuamkia leo…
Kanisa Katoliki limepata viongozi wapya, baada ya viongozi wa awali kumaliza muda wao. Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga amemaliza muda wake wa miaka 6 kama Rais wa TEC, akisaidiwa na Makamu…
Siti Binti Saad (1880 - 1950), alikuwa ni mwimbaji maarufu kutoka visiwani Zanzibar. Ni miongoni mwa wanawake waimbaji wa mwanzo hapa barani Afrika. Kwenye huu ukanda wa Afrika Mashariki, Siti…
FAHAMU KUHUSU CELINE DION NA RENE ANGELIL. Rene Angelil alikutana na Celine Dion alipokuwa na umri wa miaka 12. Alivutiwa na uwezo wake wa kuimba na mara moja akamsaini. Mwaka…
Mazishi ya Aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt Shogo Mlozi yanatarajiwa eneo la Endasak Mkoani Manyara. Mbunge huyo ambaye amewahi kuwa Mkuuu wa Chuo cha Taifa…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi. Spika Tulia ametangaza kifo hicho leo…
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema tangu ameanza ziara yake kuna gari inafuatilia msafara wake na wakifika kwenye mkutano Watu hao hujificha hali ambayo inamuogopesha hivyo ameomba kama Watu…