MCHEKESHAJI WA NIGERIA “MR IBU” APATWA NA MKASA MZITO

NYOTA WETU

Mchekeshaji nguli wa Nigeria, John Okafor “MR IBU” amekatwa mguu jana baada ya kufanyiwa upasuaji mara saba na sasa na sasa amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi “ICU”.

Taarifa iliochapishwa na binti yake kwenye ukurasa wake wa Instagram imewaomba Wanigeria wote wamuombee dua mbali na michango ya pesa za matibabu.

(more…)

Loading

Continue ReadingMCHEKESHAJI WA NIGERIA “MR IBU” APATWA NA MKASA MZITO