Muhammad Mukhbar Rais wa mpito Iran
NYOTA WETU Makamu wa Rais wa Iran, Muhammad Mukhbar anajiandaa kuiongoza Iran ndani ya kipindi cha mpito, ambapo kwa sasa anasubiri kuthibitishwa na Kiongozi Mkuu wa Taifa hilo Ayatollah Ali…
NYOTA WETU Makamu wa Rais wa Iran, Muhammad Mukhbar anajiandaa kuiongoza Iran ndani ya kipindi cha mpito, ambapo kwa sasa anasubiri kuthibitishwa na Kiongozi Mkuu wa Taifa hilo Ayatollah Ali…
NYOTA WETU Nyota wa Ligi Kuu England, Michael Antonio amefunguka na kufichua kwamba alipatwa na tatizo la akili, ambalo lilimfanya atamani kuumia ili tu asicheze mpira. Mshambuliaji huyo wa West…
NYOTA WETU Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani, Sean “Diddy” Combs amezungumzia juu ya video ya mwaka 2016 iliyovuja hivi karibuni ikimwonesha akimshambulia kwa kumkamata, kumsukuma, kumsukasuka, kumburuza na kumpiga mateke mpenzi…
NYOTA WETU Matokeo ya uchunguzi wa mwili wa marehemu mwimbaji, Ilerioluwa Aloba, almaarufu Mohbad yametoka. Kwa mujibu wa ripoti inadai kuwa wataalamu wameshindwa kubaini sababu ya kifo cha mwanamuziki huyo…
NYOTA WETU Mwana Mfalme wa Uingereza, Prince Harry na mwenza wake Meghan Markle wamewasili nchini Nigeria kwa ziara ya siku tatu. Baada ya kuwasili leo mchana, wapenzi hao wametembelea shule…
NYOTA WETU POTOFU HUZAA POTOSHI au POTOSHI HUZAA POTOFU?Dayosisi 7 za KKKT katika kanda ya Ziwa na Magharibi, kupitia Chuo cha Theologia na Biblia cha Nyakato, zinatekeleza mradi muhimu kuhusu…
NYOTA WETU Nyota wa filamu na mchekesha mahiri nchini Idris Sultan amekuwa sehemu ya vivutio vikubwa katika hafla ya uzinduzi wa msimu wa tatu wa tamthilia ya Bridgerton, iliyokusanya wasanii…
NYOTA WETU Mwanasiasa wa siku nyingi na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini, Charles Kitwanga amekemea tabia ya kuwalaumu Polisi moja kwa moja kuhusu mapungufu ya huduma yaliyopo…
NYOTA WETU Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamnu Muhimbili (MOI) imethibitisha kifo cha muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania, maarufu Director Khalfani Khalmandro kilichotokea wakati akiendelea kupatiwa matibabu…
NYOTA WETU Didi-Stone Olomidé ambaye amepewa jina kutokana na mjomba wake, Didi na muigizaji kutoka Marekani Sharon Stone. “Nilipokuwa mwanafunzi, ndoto yangu ilikuwa kumpata mtoto mmoja tu: msichana. Na Didi…