MBOWE Akerwa na Kauli ya HECHE
Mbowe amesema kuwa, nafasi yake kama Mwenyekiti wa chama ni kuhakikisha kuwa chama kinakuwa na viongozi wenye nguvu na uwezo wa kukijenga. Pia amebainisha kuwa Heche, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa…
Mbowe amesema kuwa, nafasi yake kama Mwenyekiti wa chama ni kuhakikisha kuwa chama kinakuwa na viongozi wenye nguvu na uwezo wa kukijenga. Pia amebainisha kuwa Heche, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa…
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika , ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu tuhuma zilizotolewa na Ezekia Wenje , mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti…
Wakati vuguvugu la siasa likiendelea kutikisa nchi, mvutano baina ya wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Tundu Lissu unaendelea kuwa mkali.…
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imewaachia huru wanachama watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo aliyekuwa Katibu wa Jimbo George Sanga na wenzake Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (uvccm_tz) taifa, Jokate Mwegelo, amefanikisha ujenzi wa Kanisa Katoliki Kigango cha kijiji cha Tanga, kilichopo Jimbo la Mbinga, Mkoani Ruvuma,…
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Heche John, ameonesha dhamira yake ya kuendelea kupigania mustakabali wa chama hicho na Taifa kwa ujumla. Kupitia ukurasa wake…
Mwanaharakati maarufu, Mange Kimambi, ameibua mjadala kuhusu uchaguzi wa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akieleza kwamba demokrasia ya kweli inapaswa kutumika kumpata mwenyekiti mpya wa chama hicho.…
Na; mwandishi wetu Mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unaendelea kuchukua sura mpya na kugusa hisia za wengi, huku wadau tofauti wakijitokeza kila uchwao na…
Tuliokuwepo tutakikumbuka Kikao cha Pili cha Bunge la Kumi Na Moja. Shauku ya tunaofuatilia Siasa za Kibunge ilikuwa ni kuona, ni kwa namna gani Kambi Rasmi ya upinzani ingeundwa. Ni…
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu , ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake…