DiscoverCars.com                                                                       

Seven Types Of People To Avoid

SEVEN TYPES OF PEOPLE TO AVOID! Note: Wheelbarrow people are consumers of energy, time and resources. Note: Mosquito people only sing your praises when they have something to benefit from you, while they backbite and backstab you thereafter. One good thing about “Scaffolding” is that it’s useful but it’s usefulness is for short-term purpose. It… Continue reading Seven Types Of People To Avoid

FAHAMU NGUVU NA MAAJABU YA KITO CHA AMETHYST

Amethyst ni moja kati ya vito vya thamani vinavyojulikana kama SEMI PRECIOUS GEMSTONES vikitanguliwa na Ruby (Marijani), Diamond (Almasi), Emerald (Zumaridi) na Sapphire (Yakuti Samawi) ambavyo hujulikana kama VERY PRECIOUS GEMSTONES. Amethyst ni jiwe la zambarau lenye mvuto wa aina yake.Limeundwa kwa madini ya Silicon, Oxygen na chembe chembe za madini ya Chuma (Iron crystals)Watu… Continue reading FAHAMU NGUVU NA MAAJABU YA KITO CHA AMETHYST

DUNIA INGEKUWA NZURI KAMA TUNGEKUWA NA WANAWAKE HAWA

MASTORI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema Dunia tuliyopo sasa ingekuwa na nusu ya Viongozi Wanawake basi ingekua bora zaidi ya ilivyo hivi sasa. Prof. Mkumbo ameyasema hayo kwenye kilele cha utoaji wa tuzo za Malkia wa Nguvu 2024 zilizoandaliwa na Clouds media Group kwenye ukumbi wa Mlimani… Continue reading DUNIA INGEKUWA NZURI KAMA TUNGEKUWA NA WANAWAKE HAWA