WAZIRI MKUU WA CONGO LUKONDE AJIUZULU
HABARI KUU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean-Michel Sama Lukonde, amejiuzulu Jumanne Februarai 20,2024 na kusababisha kuvunjwa kwa ofisi yake, ofisi ya Rais ilitangaza katika taarifa kwa…
HABARI KUU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean-Michel Sama Lukonde, amejiuzulu Jumanne Februarai 20,2024 na kusababisha kuvunjwa kwa ofisi yake, ofisi ya Rais ilitangaza katika taarifa kwa…
MICHEZO. Mshambuliaji wa Taifa stars, Simon Msuva amesema mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFRICON) mwaka 2023 yamemsaidia kupata timu mpya baada ya kuachana na timu aliyokuwa akiitumikia kabla ya mashindano…
NYOTA WETU. Saddam Hussein aliendelea kukimbia kwa muda wa miezi nane baada ya uvamizi ulioongozwa na Marekani nchini Iraq 🇮🇶 mwaka 2003 wa kuhakikisha unamuondoa madarakani. Hatimaye alikamatwa karibu na…
NYOTA WETU. Beki wa zamani wa Juventus na Timu ya Taifa ya Italia, Giorgia Chiellini, ameamua kuachana na soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 39. Chiellini alikuwa akiitumikia…
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu.
(more…)NYOTA WETU Sergio Ramos alimkabidhi Shakira tuzo usiku wa jana,Novemba 17 huko Seville kwa wimbo bora wa mwaka mzima kwenye Latin Grammy ,ambao ni wimbo wa kumdhihaki (diss tune) aliyekuwa…
NYOTA WETU. ASAP ROCKY hakuacha tabasamu lake lififie alipokuwa akijadili uwezekano wa kusikika kolabo yake na mama wa watoto wake Rihanna .Alikuwa na jibu la kufurahisha alipoulizwa juu ya kolabo…
NYOTA WETU. Msanii Diamond Platinum ameshinda tuzo ya Msanii bora Afrika katika tuzo za MTV Europe Music Award 2023 (MTVEMA2023). Hii inakuwa tuzo ya 3 ya MT VEMA ya Diamond…
Magazeti Magazeti ya leo yana habari ya kuhusu Mtanzania msomi mwenye shahada 9 profesa. Mpoki Mafyenga ambaye amefariki kwa maradhi ya figo. Magazeti yote leo pia yana habari kuhusu ziara…