Serikali kuja na mpango huu wa usimamizi wa fedha za mikopo

HABARI KUU Serikali ipo katika maandalizi ya usimami wa mikopo ya asilimia 10 kwa kuamua kuanzisha kitengo maalumu cha usimamizi wa Mikopo hiyo kwa ngazi ya Wizara, na kamati ya usimamizi wa mikopo katikati ngazi ya Mikoa, Halmashauri na Kata. Ameyasema hayo Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –… Continue reading Serikali kuja na mpango huu wa usimamizi wa fedha za mikopo

Sababu kwanini ongezeko la talaka ni kubwa siku hizi

MASTORI Naombeni ushauri wenu.. Wake zetu wanatuvua nguo… Jana ndo niliweza kuthibitisha hili, nilikuwa siamini kabisa… Nilijaribu kumtongoza shemeji angu mke wa rafiki yangu, na hii ilikuwa mpango wetu mimi na rafiki yangu. Nakumbuka ilikuwa tar 31 /3/2024 siku ya pasaka, tulitoka out mimi na rafiki yangu. Tulienda club moja ipo Mbezi Beach – makonde,… Continue reading Sababu kwanini ongezeko la talaka ni kubwa siku hizi

MANCHESTER CITY NA BERNARDO SILVA NDOA YAO KUTAMATIKA MSIMU HUU

MICHEZO Mshambualiji kutoka nchini Ureno na Klabu Bingwa nchini England Manchester City Bernardo Silva ana nafasi kubwa ya kuikacha klabu hiyo, itakapofika mwishoni mwa msimu huu 2023/24. Silva mwenye umri wa miaka 29, kwa muda mrefu amekuwa kitaka changamoto ya kufikiria wapi atakapocheza msimu ujao, licha ya kuwa na mkataba na Man City hadi mwaka… Continue reading MANCHESTER CITY NA BERNARDO SILVA NDOA YAO KUTAMATIKA MSIMU HUU

VERYDARKMAN BLASTS DADDY FREEZE FOR BACKBITING

OUR STAR 🌟 “Davido does not feed me, can’t tell me what to post” – Verydarkman blasts Daddy Freeze for backbiting::::: Social media activist, Martins Vincent Otse, also known as Verydarkman criticizes the media personality, Daddy Freeze for backbiting, alleging how Davido described VDM as a talkative. In an Instagram story, VDM accused Daddy Freeze… Continue reading VERYDARKMAN BLASTS DADDY FREEZE FOR BACKBITING

MERCY CHINWO AND HUSBAND REVEAL THEIR SON’S FACE

OUR STAR 🌟 Renowned Nigerian gospel singer, Mercy Chinwo and her husband, Pastor Blessed Uzochikwa, officially reveal their son’s face. Mercy Chinwo shared delightful family pictures of her husband and their charming son on her Instagram page barely months following his birth, expressing heartfelt gratitude to God. The photos seem to have been taken during… Continue reading MERCY CHINWO AND HUSBAND REVEAL THEIR SON’S FACE

15 PRAYERS TO PRAY FOR YOUR HOME…✍️

1. Lord, You are not a visitor in this house; You are the center of it.

2. Lord, we invite You to move in this home. Have Your way. We make this home your altar.

3. Lord, keep me from making my spouse feel unwanted in this house. May my spouse and I find it easy to come and stay at home.

4. Lord, we pray for the land on which this house is built and the location of this home. We pray against any evil spirit that has been operating in this location or scheming to cause havoc in this location. We break any ungodly connection attached to this area.

5. Lord, we pray for our children. That this house will not be a place of trauma for them; but an incubation center where they will find joy, mentorship, assurance, fun and pleasant memories.

6. Lord, we ask You to steer the conversations that will be held in this home. Our speech will be well seasoned. Hold our tongue when we are about to speak something harmful.

7. Lord, we pray for every room and corner of this home. Let it be a Godly place that ministers to us. Ministry begins at home.

8. Lord, we dedicate this home to be a place of healing. When my spouse and I plus our children have a bad day; may we come home to a place where we will find emotional, mental, physical and spiritual healing… strength to face another day.

9. Lord, make our home a garden in which You prune us and work on my spouse and children so that we may bear fruit.

10. Lord, may this house be the epicenter where my spouse and I strategize how we will win more for You and how together we will touch lives outside.

11. Lord, we pray against any accidents or incidents. Help us and our children not to be reckless. No gas or electric accidents, no falling down, no sliding in the bathroom, no hitting ourselves. No harm shall befall us.

12. Lord, we pray against robbery and attacks. Secure our home. We pray against any scheme to steal, kill or destroy what is ours.

13. Lord, we pray for the visitors who will enter this house; our friends, relatives and in-laws… They will experience us and declare we are blessed; they will be blessed here and leave a blessing. We pray against visitors coming and shaking our marriage; our relatives will not cause friction between us when they visit.

14. Lord, we pray for our intimacy in this house. As a couple, we will enjoy emotional, physical and sexual intimacy in our home. Our marriage bed will remain honoured.

15. Lord, we pray for the means to stay in and maintain this house. Provide the resources needed to keep this home running.

MAJENEZA 150 YAWAKA MOTO KIMAAJABU

HABARI KUU Zaidi ya majeneza 150 yaliyokuwa yametengeneza tayari kwa ajili ya bioashara yakisubiri wateja, yameteketea kwa moto katika mjiwa Karatina, uliopo eneo la Bunge huko Mathira Nchini Kenya. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, wamesema mbali na Majeneza hayo, pia Samani zingine ikiwemo Meza, Viti, Makabati na aina mbalimbali yameteketea kwa moto huo… Continue reading MAJENEZA 150 YAWAKA MOTO KIMAAJABU

WHY LADIES SAY NO TO MEN

LOVE ❤ *_Can two walk together, except they be agreed?_* Amos 3:3 There are myriads of reasons why ladies decline the proposal of men and we will look at some of them briefly. 1. *Absence of Attraction:*Among all the other important factors to consider in choosing a spouse, mutual attraction must not be underplayed especially… Continue reading WHY LADIES SAY NO TO MEN

CRISTIANO RONALDO KAKOSEA WAPI?

NYOTA WETU. Mtandao wa FourFourTwo umetoa orodha ya wanasoka 100 waliofanya vizuri mwaka 2022 hadi 2023 ila kwa mshangao mkubwa nyota wa klabu ya Al-Nassr Fc ya Saudia Arabia Mreno,Cristiano Ronaldo hayumo. Huku mshindani wake,Leo Messi nyota wa Inter Miami ya Marekani akiwa yumo kwenye orodha hiyo ndefu na akiwa yuko nafasi 6 pamoja na… Continue reading CRISTIANO RONALDO KAKOSEA WAPI?

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner