WENYE MAGARI YENYE 3D KUKIONA CHA MOTO POLISI WAONYA

HABARI KUU Wakati leo Alhamisi Machi 14, 2024 ikiwa ndio mwisho wa kuondoa kwa hiari namba zilizoongezwa ukubwa ‘3D’ kwenye magari, Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani, limeainisha hatua zitakazochukuliwa kwa mtu ambaye gari lake litabainika kuendelea kutumia namba hizo zilizopigwa marufuku. Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, Kamanda Ramadhani Nga’nzi, amesisitiza muda wa… Continue reading WENYE MAGARI YENYE 3D KUKIONA CHA MOTO POLISI WAONYA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner