Mchungaji Peter Msigwa ajivua Gwanda sasa ni Kijani na Njano
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutambulishwa mbele ya Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Msigwa amehamia CCM ikiwa…