WANANCHI WAKERWA NA SAFARI ZA TINUBU NA RUTO

HABARI KUU Wakosoaji nchini Kenya na Nigeria wameeleza wasiwasi wao juu ya idadi ya safari za nje zinazofanywa na ma-Rais wa nchi hizo William Ruto na Bola Tinubu. Gazeti la The Standard la nchini Kenya limembatiza Rais Ruto jina la “Rais anayeruka” huku likisema kuwa pamoja na hali ngumu nchini, Rais huyo ameendelea kuzipa kipaumbele… Continue reading WANANCHI WAKERWA NA SAFARI ZA TINUBU NA RUTO

MWANZILISHI WA ACCESS BENKI WIGWE AFARIKI DUNIA

HABARI KUU Mwanzilishi wa Benki ya ACCESS Duniani, Herbert Wigwe (57) amefariki kwa ajali ya ndege,jijini California Marekani. Benki ya ACCESS yenye makao makuu nchini Nigeria ina matawi yake Tanzania, Congo,Ghana,Kenya, Uganda, Nigeria, Rwanda,Gambia,Guinea, Cameroon, Sierra leone ,Msumbiji,Botswana, Afrika Kusini, Ufaransa, Zambia na Uingereza. Katika ajali hiyo iliotokea Februari 10,2024 saa nne usiku, waliofariki ni… Continue reading MWANZILISHI WA ACCESS BENKI WIGWE AFARIKI DUNIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner