MAHAMADOU DIAWARA AJIONDOA UFARANSA KWASABABU YA RAMADAN
NYOTA WETU Shirikisho la soka Ufaransa (FFF ) limewapiga marufuku wachezaji kufunga Ramadhan wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa. Sheria mpya za FFF zinasema kwamba wachezaji walioitwa na timu…