POLISI NIGERIA WAKAMATA WAISLAMU WALIOKUTWA WAKILA MUDA WA KUFUNGA NDANI YA MWEZI WA RAMADHANI…
Polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Kano nchini Nigeria wamewakamata Waislamu 11 walionaswa wakila wakati walipaswa kuwa wamefunga. Polisi wa Kiislamu wanaojulikana kama 'Hisbah', hufanya upekuzi kila mwaka…