WANAUME WENYE MIAKA 50 WAONGOZA KUWA WAATHIRIKA WA UKIMWI HUKU SABABU IKITAJWA
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imebainisha kuwa WANAUME wenye umri wa miaka 50-54 ndiyo kundi linaloongoza kwa ushamiri wa Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini. Kwa upande wa wanawake, takwimu…