ACTRESS CHISOM STEVE HAS CONFESSED THAT SHE HAS NEVER DATED

OUR STAR 🌟 Actress Chisom Steve has confessed that she had never dated anyone before meeting and marrying her husband, Ogbonnaya Ikenna Daniel. She revealed the information in a YouTube video while discussing her marriage to the naval officer and how she fell in love with her partner. The actress stated that she met him… Continue reading ACTRESS CHISOM STEVE HAS CONFESSED THAT SHE HAS NEVER DATED

HII NDIO MISHAHARA YA WABUNGE WA TANZANIA NI KUFURU TUPU

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.

SABABU ROBINHO KUFUNGWA MIAKA 9

NYOTA WETU Ripoti zinasema kuwa mchezaji kandanda wa zamani Robinho alikamatwa huko Santos, Brazil, baada ya Mahakama ya juu kukataa ombi lake la kuachiliwa Alhamisi ili kutumikia kifungo chake cha miaka tisa jela ambapo alihukumiwa nchini Italia kwa ubakaji. Mawakili wa Robinho walikuwa wamekata rufaa katika Mahakama ya juu ya shirikisho (STF) siku ya Jumatano… Continue reading SABABU ROBINHO KUFUNGWA MIAKA 9

THIBAUT COURTOIS APATA MAJERAHA

MICHEZO Mlinda Lango wa Real Madrid, Thibaut Courtois amefanyiwa upasuaji wa mguu wake wa kulia alioumia kwenye zoezi ya timu hiyo juzi Jumatano (Machi 20). Mlinda mlango huyo wa zamani wa klabu za Atletico Madrid na Chelsea, atakuwa nje ya uwanja kwa majuma kadhaa kutokana na majeraha hayo aliyoyapata Jumanne (Machi 19). “Courtois ataanza mchakato… Continue reading THIBAUT COURTOIS APATA MAJERAHA

SVEN BOTMAN APATA MAJERAHA YA GOTI

MICHEZO Beki wa Newcastle United, Sven Botman anatarajia kukaa nje ya dimba kwa kipindi cha miezi nane kufuatia kupata majeraha ya goti. Raia huyo wa Uholanzi, alipata majeraha mwishoni mwa juma lililopita katika mchezo wa Kombe la FA kati ya timu yake dhidi ya Manchester City na baadaye kulazimika kutolewa nje. Beki huyo wa kati… Continue reading SVEN BOTMAN APATA MAJERAHA YA GOTI

MASHABIKI WA CHELSEA WAANDIKA BARUA KULAUMU UONGOZI

MICHEZO Umoja wa Mashabiki wa klabu ya Chelsea wameandika barua kwenda kwa wamiliki wa klabu hiyo, Todd Boehly na Behdad Eghbali wakisema timu hiyo imekuwa kichekesho ndani na nje ya uwanja. Barua hiyo ililaumu uongozi wa klabu hiyo na kuainisha mambo mbalimbali yanayowagusa mashabiki wa klabu hiyo tangu mwaka 1980. Todd Boehly na kampuni ya… Continue reading MASHABIKI WA CHELSEA WAANDIKA BARUA KULAUMU UONGOZI

MFAHAMU MUHAMMAD ALI NDANI YA HOLLYWOOD

NYOTA WETU Mwaka wa 2002, Muhammad Ali alipewa nyota ya heshima kwenye ‘Hollywood Walk of Fame’ lakini haikuwa kama nyota zingine. Kinyume na desturi, nyota yake ilikuwa imewekwa kwenye ukuta badala ya kwenye lami,kwenye eneo la burudani la ‘Kodak Theater’. Kwa sababu bingwa huyo wa zamani, aliyekuwa na miaka 59 wakati huo, alisema hakutaka jina… Continue reading MFAHAMU MUHAMMAD ALI NDANI YA HOLLYWOOD

MWANAFUNZI WA DARASA LA SITA AJINYONGA KISA NI HIKI

HABARI KUU Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Sinde, Manispaa ya Lindi, Hussen Hassan Machela (14) amejiua kwa kujinyonga baada ya Baba yake mdogo kumlazimisha aende Shule huku Mtoto huyo akidai hawezi kwenda kwakuwa sare zake zimeloa na maji. Tukio hilo ambalo limethibitishwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi, limetokea March… Continue reading MWANAFUNZI WA DARASA LA SITA AJINYONGA KISA NI HIKI

SABABU ROBINHO KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 9

NYOTA WETU Mchezaji wa zamani wa timu ya Manchester City na Real Madrid , Robinho (40) ameambiwa na Majaji nchini Brazil kwamba anapaswa kukitumikia kifungo cha miaka tisa jela kwa kosa la ubakaji nchini Italia. Mwaka 2017, Robinho alihukumiwa nchini Italia kifungo cha miaka tisa jela kwa kitendo cha kushiriki katika kundi la unyanyasaji wa… Continue reading SABABU ROBINHO KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 9

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner