Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema kuwa kinachoendelea katika Uchaguzi Mkuu nchini Afrika Kusini ambapo Chama Tawala cha ANC kimeshindwa kupata kura za kuunda serikali peke yake inapaswa kuwa somo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumamosi Juni 01, 2024 na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi, Mahusiano na Umma wa ACT Shangwe Ayo, Shaibu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na viongozi…

Continue ReadingKatibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema kuwa kinachoendelea katika Uchaguzi Mkuu nchini Afrika Kusini ambapo Chama Tawala cha ANC kimeshindwa kupata kura za kuunda serikali peke yake inapaswa kuwa somo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania mwenye umri wa miaka 20, aliyekuwa akikipiga kwenye klabu ya KRC Genk, Kelvin John amejiunga na klabu ya AaB Fodbold inayoshiriki ligi daraja la kwanza maarufu kama NordicBet Liga ya huko nchini Denmark.

Mkurugenzi wa michezo wa AaB, Ole Jan Kappmeier amesema kuwa Kelvin John ni mchezaji wa mafanikio ambaye anaamini anaweza kujiendeleza zaidi akiwa klabuni hapo. Aidha Mchezaji Kelvin John kupitia mazungumzo…

Continue ReadingMchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania mwenye umri wa miaka 20, aliyekuwa akikipiga kwenye klabu ya KRC Genk, Kelvin John amejiunga na klabu ya AaB Fodbold inayoshiriki ligi daraja la kwanza maarufu kama NordicBet Liga ya huko nchini Denmark.

Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC), kina kila dalili za kupoteza wingi wa wabunge kwa mara ya kwanza tangu kilipoingia madarakani miaka 30 iliyopita. Huku asilimia 50 ya kura zikiwa tayari zimehesabiwa, ANC inaongoza kwa asilikia 42, ikifuatiwa na Democratic Alliance (DA) yenye asilimia 23.

Chama cha Umkhonto weSizwe (MK Party) cha Rais wa zamani, Jacob Zuma kimepata karibu asilimia 11 ya kura na chama cha Economic Freedom Fighters cha Julius Malema kina asilimia 10.…

Continue ReadingChama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC), kina kila dalili za kupoteza wingi wa wabunge kwa mara ya kwanza tangu kilipoingia madarakani miaka 30 iliyopita. Huku asilimia 50 ya kura zikiwa tayari zimehesabiwa, ANC inaongoza kwa asilikia 42, ikifuatiwa na Democratic Alliance (DA) yenye asilimia 23.