NDOTO YA KOCHA SVEN-GORAN ERIKSSON YATIMIA AKIWA NA MIAKA 76

NYOTA WETU Meneja wa zamani wa timu ya Taifa ya England Sven-Goran Eriksson (76) alitokwa na machozi jana alipofanikiwa kutimiza ndoto yake kuu ya kabla ya kifo. Januari mwaka jana Kocha huyo mkongwe alitangaza kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ambao uko kwenye hatua za mwisho na hivyo siku zake za kuishi si nyingi. Katika mahojiano… Continue reading NDOTO YA KOCHA SVEN-GORAN ERIKSSON YATIMIA AKIWA NA MIAKA 76

GIROUD AZIDI KUPATA NEEMA AC MILAN

MICHEZO Klabu ya Ac Milan, yaweka sokoni jezi maalum za Mlinda mlango zenye jina la Olivia Giroud, baada ya Mshambuliaji huyo kuonesha ushujaa kama mlinda mlango kwenye mechi dhidi ya Genoa , na kuisaidia Ac Milan kuibuka na ushindi wa bao 1-0. Giroud alilazimika kukaa golini baada ya mlinda mlango Mike Maignan ,kutolewa nje kwa… Continue reading GIROUD AZIDI KUPATA NEEMA AC MILAN

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner