WANAOZALIWA NA JINSIA MBILI KUPATIWA MATIBABU HAYA

AFYA Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye jinsia mbili bali wawapeleke hospitali ili waweze kupata huduma mapema kwa kuwa tatizo hilo linatibika. Waziri Ummy amesema hayo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa tatu wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Urolojia Tanzania (TAUS) unaofanyika Jijini Dar Es… Continue reading WANAOZALIWA NA JINSIA MBILI KUPATIWA MATIBABU HAYA

BENKI KUU YA TANZANIA IMEPIGA MARUFUKU KUWEKA PESA SEHEMU ZA SIRI

HABARI KUU BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeonya watu ambao wamekuwa na tabia ya kuhifadhi fedha kwenye maziwa, soksi, chini ya magunia na kufunga fundo kwenye kanga, ikisisitiza kunafedhehesha fedha ya Tanzania. Pia imepiga marufuku fedha kuhifadhiwa sehemu za siri pamoja na kutengenezwa mataji kwenye sherehe, atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria kwa kuwa vitendo hivyo… Continue reading BENKI KUU YA TANZANIA IMEPIGA MARUFUKU KUWEKA PESA SEHEMU ZA SIRI

MBUNGE WA CCM AJICHONGEA AKITAKA UWAZIRI

Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

WHAT HAPPENS WHEN A MARRIED COUPLE MAKES LOVE

LOVE TIPS ❤ 12 WAYS THAT HAPPENS WHEN A MARRIED COUPLE MAKES LOVE 1. They connect in every level; spiritually, emotionally, physically and mentally 2. They take away stress and release the tension in their marriage 3. They grow closer together even if they had started to drift apart 4. They release feel good hormones… Continue reading WHAT HAPPENS WHEN A MARRIED COUPLE MAKES LOVE

JESHI LA CONGO LATHIBITISHA KUWASHIKILIA WALIOPANGA MAPINDUZI

HABARI KUU Jeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limetangaza kuwakamata washukiwa wa shambulio katika Ikulu ya Rais jijini Kinshasa, shambulio linalodaiwa kuwa jaribio la Mapinduzi. Waliokamatwa ni pamoja na Christian Malanga raia wa DRC anayeishi Marekani akiwa miongoni mwa waliokuwa wameongoza kundi lililohusika na shambulio hilo. Kundi hilo lilikuwa limeshikilia bendera ya Zaire kabla… Continue reading JESHI LA CONGO LATHIBITISHA KUWASHIKILIA WALIOPANGA MAPINDUZI

MANCHESTER CITY SASA NI RASMI KUBEBA UBINGWA

MICHEZO Ushindi wa mabao 2-0 walioupata Manchester City dhidi ya Tottenham Hotspur katika uwanja wa ugenini umewafanya wajiweke katika mazingira mazuri zaidi ya kulitwaa taji la Ligi Kuu ya Uingereza (English Premier League). Mabao ya Manchester City katika pambano hilo gumu la yamefungwa na mshambuliaji wake kinara wa ufungaji mabao Erling Haaland katika kipindi cha… Continue reading MANCHESTER CITY SASA NI RASMI KUBEBA UBINGWA

“If you don’t know that I’m in a league of my own, you were born yesterday ” Flavour

CELEBRITIES Nigerian musician Flavour has asserted his dominance in the music industry. as the rivalry between Wizkid and Davido rages on, Flavour, renowned for his fluent Igbo singing, shared on his social media account that he stands apart from others in his musical league. The “Nwa Baby” singer emphasized that his unique abilities set him… Continue reading “If you don’t know that I’m in a league of my own, you were born yesterday ” Flavour

Lazarus Kambole na sakata la Young Africans kufungiwa

MICHEZO Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Lazarus Kambole ameiweka pabaya Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans kuelekea mwishoni mwa msimu huu 2023/24, ambapo Klabu za soka Tanzania zitafanya usajili kuelekea msimu ujao 2024/25. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mapema leo Jumanne (Aprili 30) na Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ na kusainiwa na Ofisa Habari na Mawasiliano… Continue reading Lazarus Kambole na sakata la Young Africans kufungiwa

Social media users express surprise and amusement as Nigerian Singer Simi dances to her husband Adekunle

CELEBRITIES In a video clip, Simi grooves and twists her waistline to the infectious rhythm of the song. Popular Nigerian singer Simi has created a buzz on social media after performing an impressive dance to her husband Adekunle Gold’s new song, “Rodo.” Simi, renowned for her soulful vocals, posted a video on Instagram showcasing her… Continue reading Social media users express surprise and amusement as Nigerian Singer Simi dances to her husband Adekunle

WATOTO WATATU WAFARIKI KWA KUANGUKIWA NA NYUMBA WAKATI WA USIKU

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner