IGNORE THE RUMOURS ZACK ORJI IS ALIVE

OUR STAR 🌟 Nollywood veteran actor, Zack Orji is alive! Any other news than this is just a rumour. In fact the President of the Actors’ Guild of Nigeria, AGN, Emeka Rollas, has also debunked the evil news which circulated this morning on social media. In an Instagram post less than an hour ago, Rollas… Continue reading IGNORE THE RUMOURS ZACK ORJI IS ALIVE

UPEKEE WA NDEGE YA BOEING ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA

HABARI KUU Ndege mpya ya abiria aina ya Boeing B737-9 Max ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) inatarajiwa kuwasili nchini, huku Watanzania na viongozi mbalimbali wakialikwa kwenda kushuhudia mapokezi hayo. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181 itawasili nchini kesho kuanzia saa 04:00 asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar… Continue reading UPEKEE WA NDEGE YA BOEING ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA

WILLIAM RUTO KUMUIGA SAMIA KWENYE SOKA ATOA AHADI HIIDiscoverCars.com

MICHEZO Rais William Ruto ameahidi kujitolea kufufua soka la Kenya katika kujenga miundombinu, maendeleo ya vijana na usaidizi kwa vilabu na timu za kitaifa. Ameyasema hayo katika hafla ya kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 60 ya AFC Leopards huku Rais huyo akiahidi kutoa kitita cha milioni kumi kwa klabu hiyo. Katika hotuba yake, Rais Ruto alikiri… Continue reading WILLIAM RUTO KUMUIGA SAMIA KWENYE SOKA ATOA AHADI HIIDiscoverCars.com

WALIOFANYA SHAMBULIZI NCHINI URUSI WAKAMATWA WANNE

HABARI KUU Serikali ya Urusi, imewafungulia mashtaka watu wanne wanaodaiwa kufanya shambulizi katika ukumbi wa Crocus City Hall jijini Moscow usiku wa kuamkia Machi 23, 2024 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 130 karibu na jiji la Moscow. Watu hao wamefunguliwa mashtaka ya ugaidi katika Mahakama ya Wilaya ya Basmanny mjini Moscow ambapo huenda… Continue reading WALIOFANYA SHAMBULIZI NCHINI URUSI WAKAMATWA WANNE

TANZANIA NA MONGOLIA LEO

MICHEZO Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Jumatatu (Machi 25), kitashuka tena kwenye Uwanja wa Dalga Arena nchini Azerbajjan kucheza dhidi ya Mongolia katika mechi ya mashindano maalum ya FIFA Series 2024 yanayoendelea nchini humo. Stars itakuwa inajaribu bahati yake baada ya mechi ya kwanza ljumaa (Machi 22) kuchapwa bao 1-0… Continue reading TANZANIA NA MONGOLIA LEO

HISTORIA YA VITAL KAMERHE LWA KANYIGINYI NKINGI

NYOTA WETU Siasa ni taaluma kama itafanywa na wataalamu,siasa ni mpango mkakati wa maendeleo ya taifa kwa miaka mingi,wakati mwingine siasa huhitaji unafiki,majungu, fitina na kujikomba kwa viongozi wakubwa ili kulinda mkate wa watoto au kuendelea kujikomba ila kupanda vyeo au kulamba teuzi hii tabia kitaalamu huitwa Sycophancy ambapo kwa kiswahili fasaha ni ubarakala. Wanasiasa… Continue reading HISTORIA YA VITAL KAMERHE LWA KANYIGINYI NKINGI

KATIBU MKUU WA CCM BADO ASHIKILIA MSIMAMO WA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR

HABARI KUU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar ulizingatia kutanguliza mbele usalama wa maisha ya watu, maslahi, utulivu na mstakabali mwema wa Zanzibar, Wazanzibar na Watanzania wote kwa ujumla, kuliko vyama vya siasa. Balozi Dk. Nchimbi amesema… Continue reading KATIBU MKUU WA CCM BADO ASHIKILIA MSIMAMO WA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR

ANAYETEGEMEWA KUSHINDA UCHAGUZI WA SENEGAL LEO

HABARI KUU Raia wa Senegal leo March 24,2024 wanapiga kura kumchagua Rais wa Nchi hiyo. Kura za Uchaguzi Mkuu utakaoamua muelekeo mpya wa Taifa hilo zinatarajiwa kupigwa leo ambapo Wagombea 19 wanawania nafasi ya Urais kwa lengo la kumrithi Rais Macky Sall atakayemaliza utawala wa miaka 12 ifikapo Aprili 2, 2024 Taarifa kutoka Senegal zinaeleza… Continue reading ANAYETEGEMEWA KUSHINDA UCHAGUZI WA SENEGAL LEO

MFAHAMU PROFESA ESTHER MWAIKAMBO

NYOTA WETU Mfahamu Professor Esther Mwaikambo, Mshindi wa tuzo Sekta ya afya kwenye Malkia wa Nguvu 2024. Huyu daktari bingwa wa magonjwa ya watoto. Anaitwa the Tanzanian woman of many firsts (yaani mwanamke Mtanzania mwenye kwanza nyingi). Daktari wa kwanza mwanamke mwaka Tanzania 1969, daktari bingwa wa watoto mwaka 1977, na alikuwa profesa wa kwanza… Continue reading MFAHAMU PROFESA ESTHER MWAIKAMBO

DUNIA INGEKUWA NZURI KAMA TUNGEKUWA NA WANAWAKE HAWA

MASTORI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema Dunia tuliyopo sasa ingekuwa na nusu ya Viongozi Wanawake basi ingekua bora zaidi ya ilivyo hivi sasa. Prof. Mkumbo ameyasema hayo kwenye kilele cha utoaji wa tuzo za Malkia wa Nguvu 2024 zilizoandaliwa na Clouds media Group kwenye ukumbi wa Mlimani… Continue reading DUNIA INGEKUWA NZURI KAMA TUNGEKUWA NA WANAWAKE HAWA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner