ISLAMIC STATE YAHUSIKA KWENYE VIFO VYA WATU 115 URUSI

HABARI KUU Idadi ya watu waliokufa kwenye shambulizi la la silaha lililodaiwa kufanywa na wapiganaji wa Islamic State, lililotokea usiku wa kuamkia leo Machi 23, 2024 nchini Urusi, imefikia watu 115 wakiwemo watoto watatu, huku wengine zaidi ya 139 wakijeruhiwa. Inadaiwa kuwa washambuliaji waliingia kwenye Ukumbi wa Crocus uliopo Krasnogorsk kaskazini-magharibi mwa jiji la Moscow,… Continue reading ISLAMIC STATE YAHUSIKA KWENYE VIFO VYA WATU 115 URUSI

MKANGANYIKO WA AJIRA BANDARI YA DAR ES SALAAM KATI YA DP WORLD NA TPA

HABARI KUU Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imewataka watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam wanaotaka kuajiriwa na Kampuni ya DP World kujitokeza kuorodhesha majina kabla ya Machi 29, 2024. TPA imesema katika mchakato wa uwekezaji bandarini hapo, “hakuna mtu yeyote atakayepoteza kazi.” Machi 20, 2024, TPA ilitoa tangazo kwa watumishi wa Bandari… Continue reading MKANGANYIKO WA AJIRA BANDARI YA DAR ES SALAAM KATI YA DP WORLD NA TPA

DIDIER DESCHAMPS AFURAHISHWA NA PSG KUMKALISHA BENCHI MBAPPE

MICHEZO Kocha Mkuu wa Ufaransa, Didier Deschamps amesema kukosa nafasi ya mara kwa mara ya kucheza kwa Mshambuliaji Kylian Mbappe kwenye klabu yake ya Paris Saint-Germain ni habari njema kwa timu ya taifa ya nchi hiyo. Nahodha huyo wa Ufaransa aliiweka wazi PSG mwezi uliopita kwamba ataondoka kwenye klabu hiyo pindi mkataba wake utakapofikia kikomo… Continue reading DIDIER DESCHAMPS AFURAHISHWA NA PSG KUMKALISHA BENCHI MBAPPE

WAZIRI DOROTHY ATOA MBINU YA KUDHIBITI UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA WATOTO

HABARI KUU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito kwa viongozi kuhakikisha udhibiti wa wimbi la watoto wanaokimbilia kuishi na kufanya kazi mitaani unaenda sambamba na kuimarisha Kamati za Ulinzi wa Watoto na Wanawake katika mamlaka za Serikali za mitaa. Dkt. Gwajima ametoa wito huo kwa nyakati… Continue reading WAZIRI DOROTHY ATOA MBINU YA KUDHIBITI UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA WATOTO

18 SIGNS WHEN A MAN IS IN LOVE WITH A WOMAN

LOVE ❤ 1. He makes it clear to her because he wants to secure her for himself 2. His conversations with her will not be just about sex 3. He will hate it when she talks negatively about herself. Why is she putting down the Queen he loves? 4. He will be open and transparent… Continue reading 18 SIGNS WHEN A MAN IS IN LOVE WITH A WOMAN

SABABU ZA BENKI YA BIASHARA YA ETHIOPIA KUPOTEZA PESA

HABARI KUU Benki kubwa kuliko zote nchini Ethiopia imeendelea na mchakato wa kujaribu kurudisha pesa zote zilizotolewa baada ya kupatwa na hitilafu ya kiufundi. Benki ya biashara ya Ethiopia (CBE) imeripotiwa kupoteza takribani pauni milioni 32 baada ya wateja kujitolea pesa nyingi kuliko walizokuwa nazo kwenye akaunti zao. Taarifa za hitilafu hiyo zilisambazwa katika mitandao… Continue reading SABABU ZA BENKI YA BIASHARA YA ETHIOPIA KUPOTEZA PESA

CCM YASHINDA KWA KISHINDO KIGOMA UJIJI

HABARI KUU Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Kata ya Kasingirima, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mwantumu Mgonja amemtangaza Mlekwa Kigeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi katika uchaguzi huo kwa kupata kura 437 dhidi ya mshindani wake wa ACT-Wazalendo, Alumbula Khalidi aliyepata kura 233. Ni katika uchaguzi mdogo uliofanyika leo Jumatano Machi 20,… Continue reading CCM YASHINDA KWA KISHINDO KIGOMA UJIJI

BUNGE LAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UMEME

HABARI KUU Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dkt. David Mathayo ameishauri Serikali kuangalia gharama za uunganishaji umeme kwa Wananchi wanaoishi katika maeneo yanayotambulika kama Vijiji Miji, ili kuwawezesha Wananchi wengi kuunganisha umeme kwenye maeneo yao. Ameshauri kuwe na usawa wa gharama za uunganishaji umeme kati ya wananchi wa vijijini na… Continue reading BUNGE LAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UMEME

SERIKALI YAAGIZA MAMLAKA ZOTE KUHUSU UVUNAJI MAJI

HABARI KUU Serikali imeziagiza Mamlaka za Maji kushirikiana na Halmashauri zote za Wilaya, kuhamasisha uvunaji wa Maji ya Mvua katika ngazi zote, hasa katika kipindi hiki ambapo zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi. Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri kwa niaba ya Waziri wa Maji, Juma Aweso ameyasema hayo Jijini Dodoma katika uzinduzi… Continue reading SERIKALI YAAGIZA MAMLAKA ZOTE KUHUSU UVUNAJI MAJI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner