KAMWE AFUNGUKA SIRI NZITO KUHUSU WACHEZAJI WALIOPATA MAJERAHA YANGA

MICHEZO Ofisa habari wa Yanga SC Ally Kamwe amewataka wananchi kutohofia majeraha yanayowakabili wachezaji wao badala yake wajipange kujitokeza Kwa wingi katika mchezo wao wa robo fainal ligi ya mabingwa Afrika mwisho wa mwezi huu dhidi ya Mamelod Sundown. “Wote tuliona namna wachezaji wetu wawili walivyoshindwa kuendelea na mchezo hapo jana Pacome alilazimika kutoka nje… Continue reading KAMWE AFUNGUKA SIRI NZITO KUHUSU WACHEZAJI WALIOPATA MAJERAHA YANGA

KWANINI TAIFA STARS IMECHAGULIWA KUSHIRIKI MICHUANO YA FIFA AZERBAIJAN

MICHEZO Wachezaji wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” wamefanikiwa kusafiri kuelekea nchini Azerbaijan kwa ajili ya michezo miwili ya FIFA Series 2024. Mechi za FIFA series kwa 2024 zitakuwa toleo la kwanza la Msururu wa FIFA, shindano la mwaliko la vyama vya kandanda linalokuzwa na FIFA ambalo huangazia mechi za kirafiki kati ya timu za… Continue reading KWANINI TAIFA STARS IMECHAGULIWA KUSHIRIKI MICHUANO YA FIFA AZERBAIJAN

AUWA MKE WAKE KISA MALI

HABARI KUU Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limethibitisha kutokea kifo cha Doto Hamisi Magambazi (30) mkazi wa Mjimwema Kiluvya mkoani humo aliyefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa kukatwa na panga sehemu mbalimbali za mwili wake na mtu anayedaiwa kuwa mume wake wa zamani, Mbaraka Haruna (42) na kisha kujinyonga. Jeshi la Polisi limesema Haruna… Continue reading AUWA MKE WAKE KISA MALI

KESI YA PAULINE GEKUL BADO MBICHI

HABARI KUU Mahakama Kuu Kanda ya Manyara, imepanga kusikiliza rufaa ya tuhuma ya kushambuliwa kwa kijana Hashimu Ally na Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul, machi 21,2024. Jaji wa Mahakama hiyo, Devotha Kamzora ameyasema hayo wakati akisikiliza hoja za wawawakilishi wa upande wa Hashimu na Gekul, akisema taarifa zilizowasilishwa hazina sifa ya kuendelea kwa… Continue reading KESI YA PAULINE GEKUL BADO MBICHI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini – TMA, imetoa angalizo kwa wakazi wanaoishi ukanda wa Pwani wa Bahari ya Hindi ukiwemo Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba kuna uwezekano wa kukutana na hali mbaya ya hewa kwa siku tano na Mvua za siku tatu mfululizo.

Kupitia utabiri wake wa hali ya hewa, TMA imeeleza kuwa, maeneo mengine yanatakayokumbwa na hali hiyo ni mikoa ya Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. TMA imeeleza kuwa, hali hiyo itakayosababisha mvua kubwa itaendelea hadi Machi 21, 2024 huku ikisema, “zingatieni na jiandaeni. Athari zinazoweza kujitokeza… Continue reading Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini – TMA, imetoa angalizo kwa wakazi wanaoishi ukanda wa Pwani wa Bahari ya Hindi ukiwemo Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba kuna uwezekano wa kukutana na hali mbaya ya hewa kwa siku tano na Mvua za siku tatu mfululizo.

VLADIMIR PUTIN ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU URUSI

HABARI KUU VLADIMIR Putin amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa Rais wa Urusi na kuweka rekodi katika uchaguzi wa Urusi uliomalizika jana Jumapili ambapo katika matokeo ya awali yanaonesha kuwa amepata asilimia 87.8 za kura huku Nikolay Kharitonov aliyekamata nafasi ya pili akipata kura chini ya asilimia 4. Akihutubia baada ya kumalizika kwa zoezi la upigaji… Continue reading VLADIMIR PUTIN ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU URUSI

VLADIMIR PUTIN ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU URUSI

HABARI KUU VLADIMIR Putin amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa Rais wa Urusi na kuweka rekodi katika uchaguzi wa Urusi uliomalizika jana Jumapili ambapo katika matokeo ya awali yanaonesha kuwa amepata asilimia 87.8 za kura huku Nikolay Kharitonov aliyekamata nafasi ya pili akipata kura chini ya asilimia 4. Akihutubia baada ya kumalizika kwa zoezi la upigaji… Continue reading VLADIMIR PUTIN ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU URUSI

WAFAHAMU WAKUU WA MAJESHI TANZANIA 1964 MPAKA 2023

MAKALA Wakuu wa Majeshi waliopitamwaka 1964 hadi 1974 ni Jenerali Mirisho Sarakikya Mwaka 1974 hadi 1980 ni Jenerali Abdalah Twalipo. Mwaka 1980 hadi 1988 ni Jenerali David Musuguri. Mwaka 1988 hadi 1994 ni Jenerali Mwita Kiaro. Mwaka 1994 hadi 2001 ni Jenerali Robert Mboma. Mwaka 2001 hadi 2007 ni Jenerali George Waitara. Mwaka 2007 hadi… Continue reading WAFAHAMU WAKUU WA MAJESHI TANZANIA 1964 MPAKA 2023

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner