(Click on the star on form card to select)
MBUNGE ATAKA PASSPORT ZIRUDI KUINGIA ZANZIBAR
HABARI KUU Mbunge wa Jimbo la Konde, Pemba, Mohamed Said Issa ameitaka Serikali irudishe utaratibu wa kuingia visiwani Zanzibar kwa hati ya kusafiria akidai visiwa hivyo vinahitaji kulindwa. Mohamed amesema…