NJIA ZA KUIFANYA NDOA YAKO IWE MPYA KILA SIKU NA YA KUDUMU

MAPENZI Ndoa ni kama bustani, inahitaji kutunzwa na kufanyiwa kazi; kupunguza matawi, kung’oa magugu, kupaliliwa na kutiwa mbolea. Ukiona kijani kibichi upande wa pili wa fensi, ni kwasababu panatunzwa. Kila mtu anaweza kutamani uzuri wa bustani. Lakini hugharimu muda, juhudi, kuchapakazi na umakini kuifanya bustani ivutie. Sasa Unafanyaje ndoa yako iwe tamu na ifurahishe?

“KUNA MCHEZO MCHAFU WA KODI” SAMIA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

MWIGIZAJI POPE ODONWONDO AFARIKI AKIREKODI

NYOTA WETU Mwigizaji kutoka Nigeria Pope Odonwodo maarufu kama Junior Pope amefariki baada ya ajali mbaya aliyopata mto Anam Nigeria wakati boti waliyokuwa wanaitumia katika utayarishaji wa filamu kupinduka. Mto Anam ni miongoni mwa mandhari ambazo zilikuwa zimepangwa kuwepo katika filamu yao, hivyo amefariki kabla filamu haijakamilika. Taarifa za kifo chake zimetolewa na Rais wa… Continue reading MWIGIZAJI POPE ODONWONDO AFARIKI AKIREKODI

CHRISTINA SHUSHO AFUNGUKA SABABU ZA KUACHANA NA MUME WAKE

NYOTA WETU Christina Shusho aeleza sababu ya kuondoka kwa mume na kuamua kuishi maisha yake mwenyewe. “Mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia labda.” “Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo… Continue reading CHRISTINA SHUSHO AFUNGUKA SABABU ZA KUACHANA NA MUME WAKE

BOBRISKY’S SISTER HITS BACK AT PORTABLE, ADDRESSES CROSSDRESSER AS”AUNTY MI”

CELEBRITIES A young lady who identified herself as the sister of the popular crossdresser, Bobrisky, refers to the male crossdresser as ‘Aunty mi’ in a statement addressing critics, including Portable and others This is contained in a video captioned: “Bobrisky’s sister and Bobrisky’s lawyer don talk out.” In the said video, the young lady was… Continue reading BOBRISKY’S SISTER HITS BACK AT PORTABLE, ADDRESSES CROSSDRESSER AS”AUNTY MI”

YOUNG AFRICANS YATINGA ROBO FAINALI IKIICHAPA DODOMA JIJI

MICHEZO Wananchi, Young Africans Sc wametinga hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Walima zabibu, Dodoma Jiji FC katika dimba la Jamhuri, Dodoma. FULL TIME: Dodoma Jiji FC 0-2 Yanga SC⚽ Emmanuel Joseph 3′⚽ Waleed Clement Mzize 66′ Timu zilizofuzu robo fainali Kombe la Shirikisho la… Continue reading YOUNG AFRICANS YATINGA ROBO FAINALI IKIICHAPA DODOMA JIJI

MWAMUZI BEIDA DAHANE APATA ULAJI FIFA

MICHEZO Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limemteua mwamuzi Beida Dahane aliyechezesha mchezo kati ya Young Africans Sc dhidi ya Mamelodi Sundowns kuchezesha michezo ya soka ya mashindano ya Olimpiki itakayofanyika Ufaransa kuanzia Julai 26 hadi Agosti 11, mwaka huu. Dahane (32) ambaye alisimamia mchezo huo ulioishuhudia Yanga ikiondolewa kwenye hatua ya robo fainali kwa… Continue reading MWAMUZI BEIDA DAHANE APATA ULAJI FIFA

ASLAY JINSI ALIVYOGEUKA IFTAR USIKU WA JANA KWA CONNECTION YAKE

NYOTA WETU Dunia imebadilika sana, wakati Mange Kimambi anatangaza kuja na connection za wasanii haikuwa rahisi kudhani kama Aslay angeingia kwenye huu mkenge wa aibu kwasababu wengi wa mashabiki zake waliamini anajitambua, anajielewa, ni msanii mwenye heshima zake ambaye angeweza kuficha faragha zake. Lakini haijawa hivyo, mambo ya faragha kayaweka hadharani watu wameanza kumfturu yeye… Continue reading ASLAY JINSI ALIVYOGEUKA IFTAR USIKU WA JANA KWA CONNECTION YAKE

IJUE SIKU YA EID AL FITR

HABARI KUU Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally amethibitisha kuandama kwa mwezi leo April 09,2024 ambapo amesema kesho April 10,2024 ni Sikukuu ya Eid Al Fitr. “Leo April 09,2024 nimepokea taarifa za mwezi kuandama kutoka Mombasa na Lamu Kenya na pia Pemba Visiwani Zanzibar na Ofisi ya Mufti Zanzibar imethibitisha, hivyo… Continue reading IJUE SIKU YA EID AL FITR

JURGEN KLOPP AIONYA MANCHESTER UNITED DHIDI YA ARSENAL

MICHEZO Kocha Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp ameionya Manchester United akisema watachezea kichapo kutoka kwa Arsenal mwezi ujao ikiwa watacheza kama walivyocheza dhidi ya kikosi chake. Klopp alitaka Liverpool kutulia baada ya timu hiyo kutoka sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Old Trafford Jumapili (Aprili 07). Man United… Continue reading JURGEN KLOPP AIONYA MANCHESTER UNITED DHIDI YA ARSENAL

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner