MBUNGE AIBUA MAZITO KINACHOENDELEA NGORONGORO

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

WANAJESHI WATATU WA TANZANIA WAUAWA KWENYE MAPIGANO DRC

HABARI KUU Wanajeshi watatu wa Tanzania wanaohudumu katika kikosi cha kulinda amani cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameuawa kwenye shambulio la kombora Mashariki mwa DR Congo na wengine watatu kujeruhiwa. Taarifa ya SADC haijaeleza ni wapi, lini au nani aliyehusika na shambulio hilo.

FIFA YATEUA WAAMUZI WANNE KUTOKA CECAFA

MICHEZO FIFA imewateua waamuzi wanne kutoka baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kuchezesha michezo ya Olimpiki Paris nchini Ufaransa 2024. Michezo ya Olimpiki ya Paris ya 2024 ambayo itashirikisha taaluma 32 za michezo ikiwemo kandanda itafanyika Julai 26 hadi Agosti 11 nchini Ufaransa. Waamuzi waliochaguliwa kutoka CECAFA ni pamoja na; Ismail… Continue reading FIFA YATEUA WAAMUZI WANNE KUTOKA CECAFA

POLISI AFYATUA RISASI KUKWEPA DENI LA POMBE

HABARI KUU Polisi wa Transmara, Kaunti ya Narok Nchini Kenya, wanachunguza kisa kimoja cha Afisa wa kitengo cha RDU (Rapid Deployment Unit), Dennis Imai ambaye alifyatua risasi moja hewani alipodaiwa deni la Pombe aliyokunywa katika baa moja. Afisa huyo ambaye amewekwa katika kambi ya RDU kijiji cha Enkorika, inasemekana alilimbikizia bili ya KSh. 2, 220… Continue reading POLISI AFYATUA RISASI KUKWEPA DENI LA POMBE

DONALD TRUMP NA NDOTO YA KUWA MANDELA

NYOTA WETU Ni maneno ya Donald Trump, aliyekuwa rais wa 45 wa Marekani. Ametoa ya moyoni akidai anataka kuwa Nelson Mandela wa taifa kubwa duniani la Marekani. “Iwapo udukuzi wa chama utaniweka kwenye ‘click’ kwa kusema ukweli, basi nitakuwa Nelson Mandela wa kisasa, itakuwa ni heshima kubwa kwangu.” Trump mwenye miaka 77 kasema hayo Jumamosi,… Continue reading DONALD TRUMP NA NDOTO YA KUWA MANDELA

YANGA NA SIMBA KUKUTANA APRIL 20

MICHEZO Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 kati Yanga Sc dhidi ya Simba Sc almaarufu ‘Kariakoo Derby’ ambao awali haukupangiwa tarehe kwenye ratiba iliyofanyiwa maboresho na kutangazwa Februari 2024, sasa utachezwa Aprili 20, 2024 kuanzia saa 11:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa. Taarifa ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebainisha… Continue reading YANGA NA SIMBA KUKUTANA APRIL 20

MWAMUZI BEIDA DAHANE ALIYEIUA YANGA ATOA KAULI HII NZITO KWA MASHABIKI

MICHEZO Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz Ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR). Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na… Continue reading MWAMUZI BEIDA DAHANE ALIYEIUA YANGA ATOA KAULI HII NZITO KWA MASHABIKI

SIRI POLISI WASTAAFU KUPEWA AJIRA MPYA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

YANGA YAWASILISHA MALALAMIKO HAYA CAF

MICHEZO Klabu ya Yanga imewasilisha malalamiko kwenda CAF kuhusu uwezekano wa makosa ya kiutawala na upangaji matokeo wakati wa mechi ya robo fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns iliyochezwa tarehe 05 Aprili 2024 kwenye Uwanja wa Loftus Versfeld mjini Pretoria, Afrika Kusini. Barua ya Mkurugenzi wa Sheria wa klabu hiyo, Adv. Simon Patrick kwenda CAF imebainisha… Continue reading YANGA YAWASILISHA MALALAMIKO HAYA CAF

SUALA LA RAIS SAMIA KUTOA SADAKA YA 5000 LIKO HIVI

HABARI KUU Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Shilingi 5,000 akisema taarifa hizo ni upotoshaji. RC Amour ameyasema hayo kufuatia taarifa za baadhi ya watu kuandika katika mitandao ya kijamii kuhusu zoezi hilo, akisema yupo Mfanyabiashara… Continue reading SUALA LA RAIS SAMIA KUTOA SADAKA YA 5000 LIKO HIVI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner