MAMELODI SUNDOWNS MBIONI KUMSAJILI AZIZ KI STEPHANE

MICHEZO Miamba ya soka ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns wanahusishwa kuiwinda saini ya kiungo wa Yanga SC na raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki. Masandawana wanaonekana kuvutiwa na kiwango cha Ki, hasa katika michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo aliitikisa ngome yao ya ulinzi. Baada ya mchezo wa duru ya… Continue reading MAMELODI SUNDOWNS MBIONI KUMSAJILI AZIZ KI STEPHANE

WAZIRI MKUU OUSMANE SONKO ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI SENEGAL

HABARI KUU Siku tatu baada ya kuapishwa kwa Rais wa tano wa nchi ya Senegal Bassirou Diomaye Faye, Waziri Mkuu Ousmane Sonko ameunda Serikali mpya yenye Mawaziri 25 na Makatibu watano wa Serikali. Katika Mawaziri hao ishirini na tano, karibu kumi kati yao walikuwa wanaunda serikali iliyopita chini ya Macky Sall. Waziri wa Mambo ya… Continue reading WAZIRI MKUU OUSMANE SONKO ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI SENEGAL

SPIKA WA BUNGE ATOA YA MOYONI KUHUSU YANGA KUDHURUMIWA GOLI

HABARI KUU “Mimi niliona ni goli” Akizungumza na Idhaa ya Taifa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt . Tulia Akson Mwansasu ametoa maoni yake kuhusu goli lililofungwa na Yanga. “Niseme kama Mtanzania ningetaraji timu zetu zingesonga zaidi ila wamejitahidi kwa kweli kufika robo fainali timu mbili kutoka nchi moja sio jambo… Continue reading SPIKA WA BUNGE ATOA YA MOYONI KUHUSU YANGA KUDHURUMIWA GOLI

HISTORIA YA MAISHA YA MSANII BEN POL

NYOTA WETU Alianza kuimba tangu akiwa shule wakati anasoma sekondani ndipo akajiunga na Tanzania House of Talents (THT) ila alitoka kimuziki chini ya M Lab (Music Laboratory) na sasa ni miongoni mwa waimbaji wakali wa RnB Bongo. Ben Pol ametoa albamu mbili, EP moja, ameshinda Tuzo za Muziki Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo, amefanya kolabo… Continue reading HISTORIA YA MAISHA YA MSANII BEN POL

MAYELE: NINAWEZA KUJIUNGA NA SIMBA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

FAIDA ZA TANZANIA KUWA NCHI YA AMANI

HABARI KUU Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, limechangia kujenga uchumi imara kwa kulinda mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo wananchi kuwa na uhuru wa kufanya shughuli za uzalishaji mali bila hofu. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, ameyasema hayo jijini Dodoma, wakati wa mkutano na… Continue reading FAIDA ZA TANZANIA KUWA NCHI YA AMANI

MFAHAMU MWAMUZI WA MECHI YA MAMELODI SUNDOWNS NA YANGA

NYOTA WETU Mchezo wa marudiano wa hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baina ya Mamelodi Sundowns na Young Africans utakaochezwa kesho Ijumaa (Aprili 05), Pretoria, Afrika Kusini utachezeshwa na Beida Dahane kutoka Mauritania mwenye historia nzuri na Young Africans. Refa huyo mwenye umri wa miaka 32 ndiye alichezesha mechi ya Mkondo wa… Continue reading MFAHAMU MWAMUZI WA MECHI YA MAMELODI SUNDOWNS NA YANGA

IMPORTANT THINGS MANY COUPLES SADLY STOP DOING WHEN THEY GET MARRIAGE

LOVE ❤ 16 IMPORTANT THINGS MANY COUPLES SADLY STOP DOING WHEN THEY GET MARRIED: 1. “Saying I love you”It is sad that it is difficult for couples married for years to tell each other ‘I love you’ yet when they were dating those three words were spoken so easily 2. “Praying together”When a man and… Continue reading IMPORTANT THINGS MANY COUPLES SADLY STOP DOING WHEN THEY GET MARRIAGE

DAVIDO AKANA KUKAMATWA KENYA SIKUKUU YA WAJINGA

MICHEZO Davido ametoa taarifa rasmi akikana kudakwa na polisi nchini Kenya, baada ya kusambaa kwa habari hizo siku ya jana, Aprili Mosi. Baadhi ya media na blogs nchini Kenya, ziliripoti kukamatwa kwa nyota huyo aliyekuwa na shoo yake nchini Kenya. Taarifa kutoka kwa staa huyo wa Kinaijeria, zinasema wanatafuta chanzo cha awali cha uzushi huo… Continue reading DAVIDO AKANA KUKAMATWA KENYA SIKUKUU YA WAJINGA

WAFAHAMU MASTAA WA KIKE WA TANZANIA WANAOSHABIKIA YANGA NA SIMBA

MAKALA Kwenye mpira wa miguu,mastaa wa kike wa Tanzania nao hawako nyuma kuupenda na kuunga mkono mchezo huu. Hii ni orodha ya baadhi ya mastaa wanaoshabikia timu za Simba na Yanga. Hamisa Mobetto – Simba Msanii wa filamu, mziki, mjasiriamali na mmoja ya wanawake wenye wafuasi wengi mtandao wa Instagram 10.2 Milioni Hamisa Mobetto ni… Continue reading WAFAHAMU MASTAA WA KIKE WA TANZANIA WANAOSHABIKIA YANGA NA SIMBA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner