Mfahamu Rais Mpya wa Iran Masoud Pezeshkian

Mgombea wa Urais na mwanamageuzi Nchini Iran, Masoud Pezeshkian ameshinda uchaguzi wa Rais katika duru ya pili dhidi ya Mhafidhina Saeed Jalili. Matokeo yaliyotangazwa na Wizara ya Mambo ya Ndani yanaonesha kuwa Pezeshkian amepata zaidi ya kura milioni 16 na Jalili amepata kura zaidi ya milioni 13 kati ya kura milioni 30 zilizopigwa ambapo watu… Continue reading Mfahamu Rais Mpya wa Iran Masoud Pezeshkian

WHAT MEN ACCUSE WOMEN OF WHEN IT COMES TO SEX

QUALITIES OF A GREAT WIFE

Being a modern woman doesn’t mean she ages alone in her big mansion. She needs to love and be loved

Ukweli Wa FISTON MAYELE Jinsi Unavyomweka Huru

Hakika wahenga walikuwa sahihi kusema kuwa endapo utasimama na kuuelezea ukweli basi hakuna mahakama itakukuta na hatia na utakuwa ni mwanzo wa Uhuru wako na moyo wako. Tangu Fiston Mayele alipoondoka yanga na kwenda Pyramid ya Misri Mambo yalikuwa magumu mno na ikapelekea akatamani kuacha mpira kisa tu kulinda heshima ya alipotokea kabla ya kwenda… Continue reading Ukweli Wa FISTON MAYELE Jinsi Unavyomweka Huru

Jinsi Mwanamke Anavyoweza Kuinua Uchumi wa Mwanaume

Wasichojua vijana wengi moja ya siri ya mafanikio ni mwenza uliyenae. Ukiona mwanaume ana maendeleo mazuri mambo yake yako safi yamenyooka kwa asilimia 95 nakuhakikishia kuna mwanamke wa maisha yake nyuma yake anayempa support inayosaidia uchumi wake kuwa endelevu, lazima ana mahusiano yenye malengo ya maisha Ni ngumu sana kijana bachela kuwa na wazo la… Continue reading Jinsi Mwanamke Anavyoweza Kuinua Uchumi wa Mwanaume

Kwanini Mali Imesitisha Safari za Ndege?

Mashirika ya ndege ya Mali yamesitisha safari za ndani na za kimataifa za ndege kutokana na uhaba wa mafuta. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga, Kanali Yahya Toure, amesema hali hiyo “inaweza kuendelea hadi Julai 15,” akisisitiza kwamba mashirika ya ndege lazima yawajulishe abiria kuhusu kupanga upya safari zao au kutafuta njia mbadala. Kwa… Continue reading Kwanini Mali Imesitisha Safari za Ndege?

MANY MEN ARE LOOKING FOR PROSTITUTES NOT WIVES

The hard truth is, many men are looking for prostitutes not wives and pretend they are looking for a wife. When you meet them they say they are of age, they want to get married, they are ready and looking for the right person. When ladies accept to date them or be in a relationship… Continue reading MANY MEN ARE LOOKING FOR PROSTITUTES NOT WIVES

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

CHADEMA Yajiweka Sawa Baada ya Peter Msigwa Kuondoka

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa kimesema kuondoka kwa aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho na mbunge wa zamani wa Iringa Mjini Peter Msigwa hakuathiri chochote kutokana na kwamba chama hicho kuwa na jeshi kubwa la watu wenye uwezo mkubwa wa kukiongoza chama. Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya… Continue reading CHADEMA Yajiweka Sawa Baada ya Peter Msigwa Kuondoka

Devastating Attack Claims Four Lives of Elite Kenyan Police Force at Border in Mandera County

Four Kenyan police officers from the elite Special Operations Group (SOG) were targeted in a deadly attack by Al-Shabaab militants near the border of Banisa and Mandera West Sub-counties in Mandera County. The patrol team, consisting of 15 Officers – 12 SOG officers and 3 National Police Reservists (NPR) – was conducting routine operations in… Continue reading Devastating Attack Claims Four Lives of Elite Kenyan Police Force at Border in Mandera County

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner