On July 5th, 2024, a riveting court hearing took place, where Sophia Momodu, the mother of Davido’s daughter Imade, put forth six compelling arguments against granting Davido custody.It is worth noting that Davido had filed for joint custody, accusing Momodu of obstructing his visitation rights and asserting that he had always provided for his daughter.… Continue reading During a custody battle with Davido over their daughter, Imade, Sophia Momodu disclosed in court that Davido’s son, Ifeanyi, sadly passed away at his home.
Tag: #Afghanistan #Albania #Finland #Belgium #Bahamas #Bangladesh #Bolivia #Argentina
Sababu Zinazosababisha Mwanamke Kupata Maumivu Wakati wa Kushiriki Tendo la Ndoa
KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO 06/07/2024
10 REASONS WHY MANY WOMEN ARE NOT HAPPY IN THEIR MARRIAGES
How To Touch A Woman
Kwanini Mwabukusi Ameenguliwa Kwenye Uchaguzi wa TLS?
Kamati ya uchaguzi ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) imeengua jina la Wakili Boniface Mwabukusi katika kinyang’anyiro cha kugombea kiti cha urais wa chama hicho. Katibu wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ya chama hicho Nelson Frank amesema baada ya kamati ya uchaguzi mnamo 24 June 2024 kutoa taarifa kwa wananchama kuhusiana na wanachama ambao… Continue reading Kwanini Mwabukusi Ameenguliwa Kwenye Uchaguzi wa TLS?
Je ni Njia Ipi Salama Wakati wa Kujifungua (Kawaida au Upasuaji)?
Kujifungua ni tukio muhimu na la kipekee katika maisha ya mwanamke.Njia za kujifungua zinajumuisha kujifungua kwa kawaida (vaginal delivery) na kujifungua kwa upasuaji (caesarean section).Na kila njia ina faida na hatari zake, na uamuzi wa njia bora unategemea hali ya afya ya mama na mtoto, pamoja na mapendekezo ya kitaalamu. Maelezo ya kina kuhusu njia… Continue reading Je ni Njia Ipi Salama Wakati wa Kujifungua (Kawaida au Upasuaji)?
BBNaija officially revealed the start date for its 9 season. (71) days.
The official launch date for the highly anticipated season 9 of Big Brother Naija, also known as BBNaija, has been revealed by the organizer of the show. This update was posted today, July 5th, 2024, on their authenticated Instagram profile. Multichoice disclosed that the series is slated to commence on July 28th, 2024, and will… Continue reading BBNaija officially revealed the start date for its 9 season. (71) days.
Nigerians stunned by the scorching images of singer Tiwa Savage on Instagram.
Nigerians left in stunned as singer Tiwa Savage shared her latest photos on Instagram, causing a stir online. On July 5th, 2024, the talented 44-year-old singer and mother wowed her followers with her stunning new post. Tiwa Savage’s captivating beauty was on full display, surprising many and sparking a wave of comments from fans and… Continue reading Nigerians stunned by the scorching images of singer Tiwa Savage on Instagram.
Kwanini CAF Imemtoza Samuel Eto’o faini badala ya Kumfugia?
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limemtoza faini ya Dola za Marekani 200,000 Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT), Samuel Eto’o, kwa ukiukaji wa maadili, lakini likakosa ushahidi wa kutosha kuendelea na mashtaka yanayohusiana na madai ya upangaji wa matokeo. CAF lilianzisha uchunguzi kuhusu mwenendo wa Eto’o mwezi Agosti mwaka jana baada ya… Continue reading Kwanini CAF Imemtoza Samuel Eto’o faini badala ya Kumfugia?