South African man receives backlash for demanding that a woman repay him for the expenses he incurred on their date after she declined his advances.

The internet community has mercilessly criticized a man from South Africa for requesting a refund from his date for the money he spent on her during their time together. The man, who posted a screenshot of the conversation where he made the request, was likely hoping for sympathy but received quite the opposite. Much to… Continue reading South African man receives backlash for demanding that a woman repay him for the expenses he incurred on their date after she declined his advances.

20 SEX TIPS FOR HUSBANDS

Kwanini Mahakama imemfutia Donald Trump mashitaka yanayomkabili?

WASHINGTON Mahakama Kuu ya Marekani imeamua kwamba Donald Trump hawezi kushtakiwa kwa matendo ambayo yalikuwa ndani ya mamlaka yake ya kikatiba kama Rais katika uamuzi wa kihistoria unaotambua kwa mara ya kwanza aina yoyote ya kinga ya Rais dhidi ya mashtaka. Majaji, katika uamuzi wa 6-3 ulioidhiishwa na Jaji Mkuu John Roberts, wametupilia mbali uamuzi… Continue reading Kwanini Mahakama imemfutia Donald Trump mashitaka yanayomkabili?

Kilichosababisha Waandamanaji 39 kuuawa Kenya chatajwa

Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya, imeripoti kuwa Jumla ya watu 39 wameuawa katika maandamano dhidi ya serikali nchini Humo, huku wanaharakati wakiongeza juhudi za kuitisha duru nyingine ya maandamano wiki hii. “Takwimu kutoka kwa rekodi zetu zinaonyesha kuwa watu 39 wamekufa na 361 kujeruhiwa kuhusiana na maandamano ya nchi nzima,” tume… Continue reading Kilichosababisha Waandamanaji 39 kuuawa Kenya chatajwa

HOW TO PREPARE YOUR HUSBAND WELL FOR LOVE MAKING.

Learn it, practice it and use it. NB: No excuses,that if I do this men are always men…No!, if you change your mind, you will change your marriage too. Once you do this as a woman you will make your marriage a small paradise on earth to be.

12 WAYS ON HOW TO COMPLIMENTS TO TELL YOUR SPOUSE

How to avoid unnecessary Break heart in a Relationship

It hurts me a lot whenever I see a good relationship tearing apart, but then it comes into my mind that most people don’t know how to maintain a relationship. So I have to say this..1- FOR GUYS.“`Guys if you love a girl and you’re sure you love her, there are things you have to… Continue reading How to avoid unnecessary Break heart in a Relationship

Usajili wa CHAMA ulivyofanyika na umafia wa Injinia Hersi

Leo sitaki maneno mengi, naingia moja kwa moja kwenye hizi taarifa nyeti nilizonazo. Story inaanzia Chama akiwa amelala kitandani, nyumbani kwake Lusaka – Zambia. Mishale ya Saa 3:30 Usiku anapokea simu kutoka kwa tajiri, Mo. Chama anapokea maelekezo ya tiketi ya ndege aliyokatiwa na Mo kuwa aende Dubai haraka sana kwa ajili ya maongezi ya… Continue reading Usajili wa CHAMA ulivyofanyika na umafia wa Injinia Hersi

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO 02/07/2024

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Usher Raymond amsamehe baba yake kwenye Tuzo za BET

Mwimbaji wa R&B na pop wa Marekani Usher Raymond IV (Usher ) ametoa hotuba ya kusisimua wakati akipokea tuzo ya mafanikio ya maisha katika Tuzo za BET zilizofanyika usiku wa Jumapili. Katika hotuba hiyo iliyochukua karibu dakika 15, usher alielezea jinsi Baba yake alivyomtelekeza kwa kutompenda hata hivyo ameamua kumsamehe. “Kufika hapa kwa hakika haikuwa… Continue reading Usher Raymond amsamehe baba yake kwenye Tuzo za BET

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner