YANGA KUTUMIA UWANJA WA MKAPA KWENYE SHEREHE ZA UBINGWA

MICHEZO Klabu ya Yanga SC imekubaliwa kuutumia uwanja wa Mkapa katika sherehe zao za Ubingwa wa (30) wa ligi kuu Tanzania bara. “Tulipeleka Maombi yetu Bodi ya Ligi na kwa Serikali tukitaka Mechi yetu dhidi ya Tabora United tukabidhiwe kombe letu, sasa ni Rasmi Yanga tutakabidhiwa kombe letu Jumamosi, Mei 25, mechi hii itapigwa katika… Continue reading YANGA KUTUMIA UWANJA WA MKAPA KWENYE SHEREHE ZA UBINGWA

Talaka ilivyotaka kuua kipaji cha nyota Michael Antonio

NYOTA WETU Nyota wa Ligi Kuu England, Michael Antonio amefunguka na kufichua kwamba alipatwa na tatizo la akili, ambalo lilimfanya atamani kuumia ili tu asicheze mpira. Mshambuliaji huyo wa West Ham United aliandamwa na tatizo hilo la akili lililosababishwa na mambo ya ndani na nje ya uwanja kitu kilichomfanya achukue soka..Antonio, 34, anafichua, wakati anajitafuta… Continue reading Talaka ilivyotaka kuua kipaji cha nyota Michael Antonio

Iranian President Ibrahim Rais has died in helicopter crash

BREAKING NEWS President Ibrahim Raisi and Foreign Minister Hossain Amir Abdullahi have died in a helicopter crash, Reuters reports. The president inaugurated two dams built around the border between Iran and Azerbaijan and they were heading to Tabriz. The helicopter 50 km from Tabriz city. May was the case in the distance and the foggy… Continue reading Iranian President Ibrahim Rais has died in helicopter crash

Moises Caicedo has spoken out after his incredible strike against Bournemouth

SPORTS Chelsea midfielder Moises Caicedo has spoken out after his incredible strike against Bournemouth. In the final match of the Premier League season, Chelsea beat Bournemouth 2:1. “It was an amazing goal,” the Ecuadorian official website quoted the Premier League as saying. “I had the opportunity to shoot and I did it. I just wanted… Continue reading Moises Caicedo has spoken out after his incredible strike against Bournemouth

Diddy ajutia alichokifanya kwa mpenzi wake Cassie Ventura

NYOTA WETU Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani, Sean “Diddy” Combs amezungumzia juu ya video ya mwaka 2016 iliyovuja hivi karibuni ikimwonesha akimshambulia kwa kumkamata, kumsukuma, kumsukasuka, kumburuza na kumpiga mateke mpenzi wake wa zamani, Cassie Ventura. Kutokana na video hiyo Diddy ameomba radhi juu ya kitendo alichoonekana akikifanya na kukubali kuwajibika kwa aliyoyafanya huku akiahidi kuwa… Continue reading Diddy ajutia alichokifanya kwa mpenzi wake Cassie Ventura

50 Cent bado aendelea kumkomalia Sean Combs “P Diddy “

BURUDANI Rapa 50 Cent, ameendelea kumkejeli Sean Combs maarufu kama Diddy, baada ya Ku-Comment kwenye Video iliyochapishwa na rapa huyo akiomba msamaha na kusema msamaha aliouomba hauto saidia kitu, na kuhoji nani anayemshauri hivi sasa. Hii inakuja kufuatia Video ya Diddy iliyovujishwa na kituo cha runinga cha CNN May 17, ambayo ilimuonesha rapa huyo akimpiga… Continue reading 50 Cent bado aendelea kumkomalia Sean Combs “P Diddy “

Olumide Oworu explains why he keeps his partner’s face hidden

CELEBRITIES Notable actor, Olumide Oworu has opened up on his relationship as he reveals why he has chosen to keep his partner’s face hidden from the public. The talented movie star was invited to the ‘Surviving Lagos’ podcast during which he was interviewed by Susan Pwajok. He revealed that he feels like he has found… Continue reading Olumide Oworu explains why he keeps his partner’s face hidden

WAYS TO AVOID WASTING A LADY’S TIME IN RELATIONSHIP

LOVE TIPS ❤ 1) BE SURE BEFORE YOU ASK HER OUT It’s very terrible to see a Brother in a Relationship, and when you ask him what he wants from the Lady and the Relationship, he can’t give you a straight answer.. Which one is “I’m still thinking about it” Thinking about it, on top… Continue reading WAYS TO AVOID WASTING A LADY’S TIME IN RELATIONSHIP

Ndege iliyombeba Rais Ebrahim Raisi wa Iran yapata ajali

HABARI KUU Helikopta iliyombeba Rais Ebrahim Raisi wa Iran imepata ajali magharibi mwa nchi hiyo leo na vikosi vya uokoaji vimetumwa kuitafuta. Waziri wa mambo ya ndani wa Iran Ahmed Vahidi amesema hali mbaya ya hewa na ukungu mzito ndiyo chanzo cha ajali hiyo na kwamba huenda itachukua muda kwa vikosi vya waokoaji kulifikia eneo… Continue reading Ndege iliyombeba Rais Ebrahim Raisi wa Iran yapata ajali

ROMANTIC THINGS TO DO THAT DON’T INVOLVE SEX

LOVE TIPS ❤ When romance is often mentioned, many think it is all about sex. But romance is actually anything you do to your partner that communicate and show that him/her is special to you. Here are a few examples.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner