JELA MIAKA 30 KWA KUMMWAGIA TINDIKALI USONI MCHUMBA WAKE

HABARI KUU Mohamed Mwarandu Kombe (30), amehukumiwa miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kummwagia tindikali usoni aliyekuwa mchumba wake, Fatma Kaingu (23). Hukumu hiyo, imetolewa na Mahakama ya Mombasa Nchini Kenya baada ya mshitakiwa kupatikana kosa hilo lililomsababishia Fatma kuwa kipofu. Hakimu mkaazi Mwandamizi, Gladys Olimo amesema amezingatia ushahidi uliotolewa na upande… Continue reading JELA MIAKA 30 KWA KUMMWAGIA TINDIKALI USONI MCHUMBA WAKE

MILIONI 300 ZAMBAKISHA KIBU DENIS SIMBA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

YOUNG AFRICANS YATUMIA MBINU HII KUMSAJILI KIBU DENIS

MICHEZO Mabingwa wa Soka Tanzania bara Young Africans ni kama wameamua kujiimarisha zaidi kwa ajili ya msimu ujao, inaelezwa chini ya Rais wa klabu hiyo, Hersi Said, wameanza mazungumzo na nyota wa Simba SC Kibu Denis. Mkataba wa mchezaji huyo na Simba SC unaisha mwishoni mwa msimu huu ingawa Simba SC wanataka kumbakisha mchezaji huyo,… Continue reading YOUNG AFRICANS YATUMIA MBINU HII KUMSAJILI KIBU DENIS

Davido has responded on social media

CELEBRITIES Davido has responded to comments made by an Abuja-based barber who is a fan of Wizkid, who claimed that Davido is not a God. Nigerian musician Davido has responded on social media after hearing a barber from Abuja, who is a fan of rival musician Wizkid, declare that Davido is not God. It would… Continue reading Davido has responded on social media

WHY YOUR SPOUSE IS VERY IMPORTANT TO YOUR LIFE

LOVE TIPS ❤ 1. Your biggest client calls you but you missed their phone call, you quickly return the call. But when you see a missed call from your spouse, you do not even bother 2. You get a new boss at work, you go out of your way to make a good impression by… Continue reading WHY YOUR SPOUSE IS VERY IMPORTANT TO YOUR LIFE

RAIS SAMIA ATANGAZA NEEMA KWA WABUNIFU NCHINI

SIASA Wizara ya Nishati imetakiwa kuwatafuta Watanzania Wabunifu wa teknolojia, ili waweze kufanikisha mpango wa matumizi ya gesi ya kupikia kwa kulipia kadri unavyotumia. Wito huo umetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiuzindua Mkakati wa Taifa wa nishati safi ya kupikia wa mwaka 2024 Jijini Dar es… Continue reading RAIS SAMIA ATANGAZA NEEMA KWA WABUNIFU NCHINI

MWANAFUNZI WA DARASA LA 3 AJINYONGA DARASANI

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

WHAT IT TAKES TO MAKE A GOOD MAN

LOVE TIPS ❤ When a man treats his woman right, there is a reason why. The reason could be:- 1. “He doesn’t want to be like his father”If his father was a drunkard, unfaithful, a wife beater and irresponsible; the man grew up vowing to be different, never to sink as low as his father… Continue reading WHAT IT TAKES TO MAKE A GOOD MAN

THE 10 KEYS TO A MAN’S HEART

LOVE TIPS ❤ If you have these 10 keys. You will never experience marital crises. Your bliss is guaranteed. Men love women who have these keys, as in love them, fall madly in love with them. In courtship, he will respect you for NOT giving him sex before marriage. It shows you are a lady… Continue reading THE 10 KEYS TO A MAN’S HEART

Old tweet of Davido speaking on Tonto Dikeh’s bedroom scenes breaks the Internet

CELEBRITIES An old tweet of Davido speaking of Tonto Dikeh’s ‘bedroom scenes’ has set the internet buzzing with reactions. Some cybernauts dug up an old tweet of the singer from 2011 where he informed her about how her love scenes makes him feel. In the old tweet, Davido who tagged Tonto Dikeh, revealed that the… Continue reading Old tweet of Davido speaking on Tonto Dikeh’s bedroom scenes breaks the Internet

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner