Mkuu wa Mkoa Anayetuhumiwa Kulawiti Apandishwa Mahakamani
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kulawiti. Dkt. Nawanda amepandishwa kizimbani leo Jumanne Julai…