NYOTA WA MIELEKA VIRGIL JONES AFARIKI DUNIA

NYOTA WETU Nyota wa Mieleka wa Marekani Michael Jones (61) almaarufu kama “Virgil” amefariki dunia. Kupitia Mtandao wa X, Refa wa Mieleka Mark Charles amethibitisha kuwa Virgil alifariki kwa amani akiwa hospitali. Mwanamieleka huyo alivuma zaidi kwa kazi yake katika Shirikisho la mieleka duniani (WWF) kati ya miaka ya 1980 na 1990. Mwaka 2022 Virgil… Continue reading NYOTA WA MIELEKA VIRGIL JONES AFARIKI DUNIA

MECHI YA SIMBA NA AL AHLY HAINA GOLI LA UGENINI

MICHEZO Kuelekea michezo ya hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba na Al Ahly, katika dimba la Cairo ,imebainika sasa kuwa goli la ugenini halina maana tena. Wawili hao walipepetana na kutoka sare ya mabao 2-2 katika dimba la Kumbukumbu ya Benjamin Mkapa jiji Dar es salaam jambo ambalo… Continue reading MECHI YA SIMBA NA AL AHLY HAINA GOLI LA UGENINI

WACHEZAJI SIMBA KUPATA KIASI HIKI CHA PESA

MICHEZO Wachezaji wa Simba washindwe wao tu sasa hivi hiyo ni baada ya kuhakikishiwa kupewa pesa ya maana katika michezo miwili ya robo fainali ya AFL dhidi ya Al Ahly. Simba Octoba 20 wanatarajia kukipiga na Al Ahly katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa michuano mipya ya AFL kwenye dimba la Mkapa,Dar. Kabla ya… Continue reading WACHEZAJI SIMBA KUPATA KIASI HIKI CHA PESA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner