Vladimir Putin amezionya nchi za Magharibi kuacha mpango wa kuipa Ukraine Silaha za kuishambulia Urusi
Kauli ya Rais wa Urusi, Vladmir Putin ya kusema kutakuwa na madhara makubwa iwapo nchi za Magharibi zitairuhusu Ukraine kutumia silaha zao kuyapiga maeneo ndani ya Urusi, huku akizionya nchi…