MIAKA MITATU BILA JOHN POMBE MAGUFULI KESHO
NYOTA WETU Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko anatarajiwa kuongoza ushiriki wa serikali katika misa takatifu ya kumuombea Hayati Dkt. John Magufuli ikiwa ni kumbukizi ya miaka mitatu ya kifo chake.…
SABABU DRC KUISHITAKI RWANDA MAHAKAMA KUU YA AFRIKA MASHARIKI
HABARI KUU Mgogoro katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umechukua mkondo wa kisheria baada ya Kinshasa kuishtaki Kigali katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ)…
DE BRUYNE NA MANCHESTER CITY BADO NGOMA NZITO
MICHEZO Mabosi wa Manchester City wamesitisha mazungumzo na wawakilishi wa kiungo Kevin de Bruyne yaliyokuwa na lengo la kumsainisha mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mazungumzo hayo yamesitishwa kwa…
BONDIA WA KWANZA WA TANZANIA AONDOLEWA KWENYE ALL AFRICAN GAMES
MICHEZO Ajali ya kuvunjika mkono katika raundi ya mwisho ya mchezo imemuondoa katika mashindano bondia Abdallah Abdallah “Katoto” aliyekuwa akipambana na Wibshet Bekele kutoka Ethiopia. Ilikuwa katika bout no. 3…
CHALLENGES YOU WILL EXPERIENCE IN THE EARLY YEARS OF MARRIAGE
LOVE ❤ So now you're married to the lady and guy of your dreams, CONGRATULATIONSYou are about to head to the moon to find some honey, but hold on a…
BURUNDI NA RWANDA ZAINGIA KWENYE VITA YA KIUCHUMI
HABARI KUU Serikali ya Burundi imesema Mfanyabiashara atakayekamatwa akiwa anapeleka biashara nchini Rwanda ataadhibiwa kama adui wa nchi. Hayo yamesema na Mkuu wa Mkoa wa Cibitoke, Careme Bizoza wakati akizungumza…
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kiongozi bora wa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika kwa Mwaka 2023 (African Leadership Person of the Year) kama Kiongozi Bora wa Mwaka katika Amani na Usalama barani Afrika.
Katika hotuba ya Dkt. Kikwete wakati wa hafla hiyo iliyoandaliwa na Jarida la Uongozi Afrika (ALM) jijini Addis Ababa, Ethiopia ameshukuru kwa kutunukiwa tuzo hiyo na kuwasihi Waafrika wote kwenye…
WHY YOUR HUSBAND STRUGGLES TO SUSTAIN AN ERECTION
LOVE ❤ 1. YOUR ATTITUDEIf you speak to him rudely, are mean and disrespectful to him or keep accusing him falsely of cheating or you act like you don't want…
Kama ulikua hujui kuwa duniani kuna sehemu bahari ya PASIFIKI na ATLANTIC zinakutana lakini maji yake HAYA CHANGANYIKI wacha nikufahamishe;-
Unachokiona hapo sio uongo ni ukweli mtupu,
Hizo ni BAHARI MBILI zinakutana hapo ambazo ni PASIFIC na ATLANTIC,
Bahahari mbili za ATLANTIC na PACIFIC kuna sehemu zinakutana,
Lakini cha ajabu maji hayo yanaonekana kutochanganyika,
Upo mpaka kabisa katika maji unao yatofautisha maji ya bahari moja na bahari nyingine,
Upande mmoja yakionesha kuwa na rangi tofauti na ya upande wa pili,
Wengine wanalihusisha tukio hili na nguvu za giza,
Wengine wanaeleza ni miongoni mwa ishara kwamba,
Mungu yupo na wengine hawaelewi chochote.
SABABU YA KUWA HIVI NI NINI?
Kuweka mambo sawa lazima ieleweke kwamba,
Si kwamba maji ya bahari hizo mbili hayachanganyikani si kweli,
Isipokuwa huchukua muda kidogo kuchanganyikana,
Na hii hutokea kwa sababu
PACIFIC ndiyo bahari kubwa kuliko zote duniani,
Ikikusanya maji kutoka ANTARCTICA mpaka ARCTIC,
Yaani kuanzia ncha ya KASKAZINI mpaka ncha ya KUSINI ya dunia,
Kwa kuwa sehemu kubwa ya vyanzo vya maji yake ni theluji,
Hivyo kiwango cha chumvi kwenye maji ya bahari hiyo,
Ni kidogo ukilinganisha na maji ya bahari ya ATLANTIC,
Na hii theluji imetokana na baridi kali iliopo kwenye ncha ya Dunia,
Kisayansi maji yenye kiwango tofauti cha chumvi,
Huchukua muda mrefu sana kuchanganyikana,
Na ushahidi wa hili ni kwamfano eneo ambalo mto AMAZON unaingiza maji baharini,
Kwa kuwa maji ya mto hayana chumvi tofauti na ya baharini,
Ukiwa umbali wa zaidi ya mita 200 baharini,
Kutoka usawa wa eneo hilo kuna maji baridi yasiyo na chumvi kabisa.
SABABU ZA KITAALAMU YA MAJI HAYO KUWA HIVYO NI KAMA ZIFUATAZO;-
1) Utofauti wa kiwango cha chumvi kati ya bahari hizo mbili,
Bahari ya ATLANTIC ndio bahari yenye chumvi nyingi zaidi kuliko bahari zote duniani.
2) Maji ya Bahari ya ATLANTIC yanajongea kuelekea upande wa Kusini,
Wakati huohuo maji ya PACIFIC yenyewe,
Yanajongea kwa mfumo ambao kitaalamu huitwa circumpolar movement,
Yaani mwendo wa kuzunguka kutoka ncha moja ya dunia mpaka nyingine,
Kwa lugha nyepesi ni kwamba maji ya Bahari ya PACIFIC,
Yanajongea kwa mfumo wa kuzunguka duara lakini yakitokea Mashariki,
Mkondo wa Bahari ya ATLANTIC una nguvu zaidi kwa sababu una uelekeo mmoja,
kwa hiyo katika eneo maji yanapo kutana,
Maji ya ATLANTIC yanakuwa kwenye kasi tofauti inayokinzana na maji ya PACIFIC,
Kwa hiyo yanalazimika kusafiri kwenye mstari mmoja ulionyooka,
Kwa umbali fulani kabla ya baadaye kuanza kuchanganyikana.
3)Kasi ya maji ya juu ya bahari, ni tofauti na kasi ya maji ya chini ya bahari,
Kwa hiyo pale bahari hizo mbili zinapokutana,
Maji yanayoanza kuchanganyikana huwa ni ya chini kwa sababu ya kasi yake kisha baadaye,
Ndiyo maji ya juu nayo huchanginyakana taratibu kwa sababu ya kasi yake.
Hayo maji ya blue ni maji ya bahari ya PASIFIC,
Na hayo maji meupe ndio maji ya bahari ya ATLANTIC.

- Go to the previous page
- 1
- …
- 239
- 240
- 241
- 242
- 243
- 244
- 245
- …
- 274
- Go to the next page