SIMBA YAFUNGIWA KUTOKUSAJILI NDANI NA NJE SABABU HII

MICHEZO Klabu ya Ligi Kuu ya NBC ya Simba SC imefungiwa kusajili mpaka itakapo lipa madai ya klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ouesman Sakkho. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) baada ya klabu hiyo kushinda kesi ya madai dhidi ya Simba kutokana na mauzo ya Sakkho. Kabla… Continue reading SIMBA YAFUNGIWA KUTOKUSAJILI NDANI NA NJE SABABU HII

SIMBA WALIVYOFANYA UMAFIA KWA MAX NZENGELI.

MICHEZO. Viongozi wa klabu ya Maniema Fc ya DRC wamesema viongozi wa Simba SC waliwafata na kuwaahidi ofa nono ili wamsajili , Max Nzengeli. Hii imetokea baada ya siku za hivi karibuni mchambuzi, Jemedari Said kufichua kuwa ,Max Nzengeli yupo ndani ya klabu ya Yanga kwa mkopo . Viongozi wa Simba SC waliamini na kufanya… Continue reading SIMBA WALIVYOFANYA UMAFIA KWA MAX NZENGELI.

RAIS WA ANGOLA AZUA SINTOFAHAMU KENYA

HABARI KUU Kumekuwa na sintofahamu nchini Kenya baada ya Rais wa Angola Joâo Lourenćo kutokuhudhuria sherehe za Mashujaa Day Nchini Kenya kama ilivyotarajiwa licha ya kuwasili nchini humo. Mtandao wa “Daily Nation ” umeripotiwa kuwa Waziri Mkuu, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya,Musalia Mudavadi ,wakati akimpokea mgeni huyo aliyeambatana na mkewe Ana Dias… Continue reading RAIS WA ANGOLA AZUA SINTOFAHAMU KENYA

TANZANIA NA WENZAKE KUANDAA AFRICON

Habari Kuu Nchi za Kenya 🇰🇪, Tanzania 🇹🇿 na Uganda 🇺🇬 zimepitishwa kuandaa michuano mikubwa ya soka barani Afrika yaani kombe la Mataifa ya Afrika(AFRICON) taarifa ya CAF imetaja mapema hivi leo. Nchi hizi za Afrika Mashariki zimepata zabuni hii baada ya kuwaangusha washindani wao Misri 🇪🇬 , Senegal 🇸🇳, Botswana 🇧🇼 na Algeria 🇩🇿… Continue reading TANZANIA NA WENZAKE KUANDAA AFRICON

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner