WASANII WA KIKE WA TANZANIA WANANYANYASWA KINGONO

HABARI KUU Joachim Marunda kwa jina maarufu “Master J” amefunguka kufuatia yanayoendelea huko Ulaya na Marekani kuhusu baadhi ya watu maarufu kukubwa sana na kesi za unyanyasaji wa kingono ambapo ameeleza kuwa :- Kutokana na madai ya namna hii kuwa ni wengi hushtushwa zaidi pindi tuhuma hizo zinapofika mbali na kuzaa matunda kama ilivyokuwa kwa… Continue reading WASANII WA KIKE WA TANZANIA WANANYANYASWA KINGONO

AZIZ KI NA YANGA MAMBO YAKO HIVI

NYOTA WETU. Taarifa zilizopo ni kuwa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam imemalizana na nyota wake raia wa Burkina Faso 🇧🇫, Stephanie Aziz Ki juu ya kuongeza mkataba mpya wa kusalia kwenye viunga vya Jangwani, Kariakoo. Ikumbukwe mkataba wa Aziz Ki unatamatika mwisho wa msimu huu wa 2023-24 na mpaka sasa ,Stephanie Aziz… Continue reading AZIZ KI NA YANGA MAMBO YAKO HIVI

MSUVA APIGWA CHINIbanner

Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imethibitisha kuwa haina mpango tena na nyota wa Tanzania, Simon Msuva ambaye alijiunga na klabu hiyo Mwezi Julai 2023. Taarifa ya klabu imeeleza kuwa makubaliano yamefikiwa kati ya pande zote mbili. Kwa maelekezo hayo basi ni kwamba sasa hivi nyota Simon Msuva ni mchezaji huru.

SIMBA YAFUNGIWA KUTOKUSAJILI NDANI NA NJE SABABU HII

MICHEZO Klabu ya Ligi Kuu ya NBC ya Simba SC imefungiwa kusajili mpaka itakapo lipa madai ya klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ouesman Sakkho. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) baada ya klabu hiyo kushinda kesi ya madai dhidi ya Simba kutokana na mauzo ya Sakkho. Kabla… Continue reading SIMBA YAFUNGIWA KUTOKUSAJILI NDANI NA NJE SABABU HII

SIMBA WALIVYOFANYA UMAFIA KWA MAX NZENGELI.

MICHEZO. Viongozi wa klabu ya Maniema Fc ya DRC wamesema viongozi wa Simba SC waliwafata na kuwaahidi ofa nono ili wamsajili , Max Nzengeli. Hii imetokea baada ya siku za hivi karibuni mchambuzi, Jemedari Said kufichua kuwa ,Max Nzengeli yupo ndani ya klabu ya Yanga kwa mkopo . Viongozi wa Simba SC waliamini na kufanya… Continue reading SIMBA WALIVYOFANYA UMAFIA KWA MAX NZENGELI.

RAIS WA ANGOLA AZUA SINTOFAHAMU KENYA

HABARI KUU Kumekuwa na sintofahamu nchini Kenya baada ya Rais wa Angola Joâo Lourenćo kutokuhudhuria sherehe za Mashujaa Day Nchini Kenya kama ilivyotarajiwa licha ya kuwasili nchini humo. Mtandao wa “Daily Nation ” umeripotiwa kuwa Waziri Mkuu, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya,Musalia Mudavadi ,wakati akimpokea mgeni huyo aliyeambatana na mkewe Ana Dias… Continue reading RAIS WA ANGOLA AZUA SINTOFAHAMU KENYA

TANZANIA NA WENZAKE KUANDAA AFRICON

Habari Kuu Nchi za Kenya 🇰🇪, Tanzania 🇹🇿 na Uganda 🇺🇬 zimepitishwa kuandaa michuano mikubwa ya soka barani Afrika yaani kombe la Mataifa ya Afrika(AFRICON) taarifa ya CAF imetaja mapema hivi leo. Nchi hizi za Afrika Mashariki zimepata zabuni hii baada ya kuwaangusha washindani wao Misri 🇪🇬 , Senegal 🇸🇳, Botswana 🇧🇼 na Algeria 🇩🇿… Continue reading TANZANIA NA WENZAKE KUANDAA AFRICON

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner