ACT WAZALENDO NA CCM ZANZIBAR WAMEKWAZANA TENA
MAGAZETI. Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
MAGAZETI. Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
MASTORI. Waafrika wana msemo maarufu " adui wa mtu ni wa nyumbani mwake". Ni msemo maarufu wenye maana hasa kubwa hata kwenye mahusiano yako. MAMBO MANNE YANAYOHARIBU MAHUSIANO. 1. Kushutumu…
HABARI KUU Joachim Marunda kwa jina maarufu "Master J" amefunguka kufuatia yanayoendelea huko Ulaya na Marekani kuhusu baadhi ya watu maarufu kukubwa sana na kesi za unyanyasaji wa kingono ambapo…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
NYOTA WETU. Taarifa zilizopo ni kuwa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam imemalizana na nyota wake raia wa Burkina Faso 🇧🇫, Stephanie Aziz Ki juu ya kuongeza mkataba…
Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imethibitisha kuwa haina mpango tena na nyota wa Tanzania, Simon Msuva ambaye alijiunga na klabu hiyo Mwezi Julai 2023. Taarifa ya klabu imeeleza kuwa…
HABARI KUU Taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kutokea tarehe Novemba 25,2023 ya kujiuzulu wadhifa wa Katibu Mkuu wa CCM,Daniel Godfrey Chongolo sasa ni za kweli baada ya barua yake…
MICHEZO Klabu ya Ligi Kuu ya NBC ya Simba SC imefungiwa kusajili mpaka itakapo lipa madai ya klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ouesman Sakkho. Uamuzi huo umefanywa…
MICHEZO. Viongozi wa klabu ya Maniema Fc ya DRC wamesema viongozi wa Simba SC waliwafata na kuwaahidi ofa nono ili wamsajili , Max Nzengeli. Hii imetokea baada ya siku za…
HABARI KUU
Kumekuwa na sintofahamu nchini Kenya baada ya Rais wa Angola Joâo Lourenćo kutokuhudhuria sherehe za Mashujaa Day Nchini Kenya kama ilivyotarajiwa licha ya kuwasili nchini humo.
Mtandao wa “Daily Nation ” umeripotiwa kuwa Waziri Mkuu, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya,Musalia Mudavadi ,wakati akimpokea mgeni huyo aliyeambatana na mkewe Ana Dias Lourenço,alidokeza kuwa ndiye aliyealikwa kuwa mgeni wa heshima katika sherehe hizo.
Rais huyo wa Angola 🇦🇴 aliwasili Kenya siku ya Alhamisi ambapo ilitarajiwa afike Kericho ambako ndiko sherehe hizo zilifanyika kitaifa, huku akitarajiwa kuwa mgeni wa heshima kwa mujibu wa mawasiliano rasmi kati ya Kenya na Angola 🇦🇴.
Hata hivyo jana Ijumaa Oktoba 20,2023 katika programu rasmi ya “Mashujaa Day ” haikuorodhesha uwepo wa Rais Lourenço kama mgeni rasmi ,badala yake aliwakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Balozi António Tete.
Katika hotuba yake ,Balozi António Tete amesema kutokuwepo kwa Rais Lourenço kumetokana na “sababu zisizotarajiwa” na hivyo kuwaomba radhi Wakenya kwa niaba ya Rais wake.
“Kwa niaba ya Rais Joáo Lourenço kwanza ningependa kuomba radhi kwa kutokuhudhuria sherehe hizi. Angependa kuwa pamoja nanyi lakini kwasababu ya sababu zisizotarajiwa, hakufika Kericho
“Hata hivyo,anawatakia kheri mnaposheherekea siku hii ya leo muhimu, pia anawashukru kwa mapokezi mnayotupa tunapokuja Kenya 🇰🇪 “
Amesema balozi Tete
Katika hotuba yake wakati wa sherehe hizo, Rais William Ruto amesema kuwa Rais Lourenço bado yuko nchini humo na kwamba atakuwa na ziara ya kiserikali leo jumamosi.
“Tunapozungumza sasa, Rais Joáo Lourenço wa Angola bado yuko Kenya 🇰🇪, na atakaribishwa katika ziara ya kikazi kuanzia kesho jumamosi “.
Amesema Rais William Ruto.
(more…)