7 BEST ADVICES FROM A FATHER TO A DAUGHTER

LOVE ❤ BEST ADVICES FROM A FATHER TO A DAUGHTER.

ANAYETEGEMEWA KUSHINDA UCHAGUZI WA SENEGAL LEO

HABARI KUU Raia wa Senegal leo March 24,2024 wanapiga kura kumchagua Rais wa Nchi hiyo. Kura za Uchaguzi Mkuu utakaoamua muelekeo mpya wa Taifa hilo zinatarajiwa kupigwa leo ambapo Wagombea 19 wanawania nafasi ya Urais kwa lengo la kumrithi Rais Macky Sall atakayemaliza utawala wa miaka 12 ifikapo Aprili 2, 2024 Taarifa kutoka Senegal zinaeleza… Continue reading ANAYETEGEMEWA KUSHINDA UCHAGUZI WA SENEGAL LEO

CARLOS ALCARAZ BINGWA WA INDIAN WELLS 2024

MICHEZO Mcheza tennis namba mbili kwa ubora Duniani upande wa wanaume mhispania Carlos Alcaraz ameshinda ubingwa wa michuano ya Indian Wells 2024 na kutetea ubingwa wa michuano hii, baada ya kumfunga mrusi Daniil Medvedev kwenye mchezo wa fainali kwa seti mbili 7-6 na 6-1 mchezo uliochezwa California Marekani. Baada ya ushidni huu Alcaraz alielezea furaha… Continue reading CARLOS ALCARAZ BINGWA WA INDIAN WELLS 2024

MASHABIKI WA AJAX WAFANYA VURUGU KISA MATOKEO banner

Michezo Nchini Uholanzi hapo jumapili kwenye mchezo kati ya Ajax na mtani wake wa jadi Feyenoord hali ilichafuka baada ya mashabiki wa Ajax kuzua vurugu zilizosababisha mchezo huo kusimamishwa. Polisi walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki waliokuwa kwenye dimba la Johan Cruyff Arena. Vurugu zilianza tu baada ya Ajax kufungwa goli la 3 na… Continue reading MASHABIKI WA AJAX WAFANYA VURUGU KISA MATOKEO banner

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner