WANAOZALIWA NA JINSIA MBILI KUPATIWA MATIBABU HAYA

AFYA Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye jinsia mbili bali wawapeleke hospitali ili waweze kupata huduma mapema kwa kuwa tatizo hilo linatibika. Waziri Ummy amesema hayo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa tatu wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Urolojia Tanzania (TAUS) unaofanyika Jijini Dar Es… Continue reading WANAOZALIWA NA JINSIA MBILI KUPATIWA MATIBABU HAYA

USAFIRI KWENDA KIGAMBONI WASIMAMISHWA KWA MUDA

HABARI KUU Watumiaji wa kivuko cha Magogoni MV Kigamboni na wananchi kwa ujumla wanaarifiwa kuwa Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa Tarehe 07 Juni, 2024. Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imebainisha kuwa Kivuko hicho kinasimama kutoa huduma kwa ajili ya kwenda… Continue reading USAFIRI KWENDA KIGAMBONI WASIMAMISHWA KWA MUDA

BENKI KUU YA TANZANIA IMEPIGA MARUFUKU KUWEKA PESA SEHEMU ZA SIRI

HABARI KUU BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeonya watu ambao wamekuwa na tabia ya kuhifadhi fedha kwenye maziwa, soksi, chini ya magunia na kufunga fundo kwenye kanga, ikisisitiza kunafedhehesha fedha ya Tanzania. Pia imepiga marufuku fedha kuhifadhiwa sehemu za siri pamoja na kutengenezwa mataji kwenye sherehe, atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria kwa kuwa vitendo hivyo… Continue reading BENKI KUU YA TANZANIA IMEPIGA MARUFUKU KUWEKA PESA SEHEMU ZA SIRI

MSAMARIA MWEMA AFARIKI AKIWAOKOA WANAFUNZI WA SHULE

HABARI KUU Mbali ya miili saba ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial iliyopo Murieti jijini Arusha kupatikana, pia mwili wa msamaria mwema aliyejaribu kuokoa wanafunzi hao (jina halijafahamika) umepatikana jioni hii. Ajali hiyo imetokea leo Aprili 12, 2024, saa 12 asubuhi baada ya gari la shule walimokuwemo wanafunzi kutumbukia kwenye korongo lililojaa maji… Continue reading MSAMARIA MWEMA AFARIKI AKIWAOKOA WANAFUNZI WA SHULE

HOW ACTRESS SARAH MARTINS ATTACKED WUNMI

OUR STAR 🌟 “When did you move from mourning Mohbad to mocking him?“ – Sarah Martins berates Wunmi:::: Actress Sarah Martins has taken to social media to attack Wunmi, the wife of the late artist Mohbad following recent banter with sister. The movie diva posted a lengthy message on her Instagram page expressing her disappointment… Continue reading HOW ACTRESS SARAH MARTINS ATTACKED WUNMI

WAZIRI MKUU AONYA MATUMIZI YA BANGI NA SKANKA

HABARI KUU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mbio za Mwenge mwaka huu zitaendelea kutoa hamasa kwa jamii kusitisha biashara na matumizi ya dawa za kulevya kwani bangi na mirungi zimeendelea kutumika kwa wingi. Amesema vijana wamekuwa wakitumia aina nyingine ya bangi yenye kiasi kikubwa cha kilevi inayofahamika kama ‘Cha Arusha’ na ‘Skanka’. Akizungumza leo Aprili… Continue reading WAZIRI MKUU AONYA MATUMIZI YA BANGI NA SKANKA

7 BEST ADVICES FROM A FATHER TO A DAUGHTER

LOVE ❤ BEST ADVICES FROM A FATHER TO A DAUGHTER.

“All my problems started after supporting Peter Obi” AY MAKUN

OUR STAR 🌟 Well-known comedian and actor, Ayo Makun, also known as AY Comedian has opened up on the impact supporting Peter Obi had on his life. The comedian said on his AY Live program that he had no remorse about endorsing Peter Obi’s bid for president in 2023. He did point out that once… Continue reading “All my problems started after supporting Peter Obi” AY MAKUN

BENJAMIN NETANYAHU KUFANYIWA UPASUAJI KUTOKANA NA TATIZO LA NGIRI

HABARI KUU Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajia kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la ngiri. Tatizo hilo liligundulika jana usiku wakati akifanyiwa uchunguzi. Upasuaji huo utafanyika akiwa amechomwa ganzi ya mwili mzima. Netanyahu (74) alifanyiwa upasuaji mwingine wa ngiri mwaka 2013 na mwaka jana aliwekewa kifaa cha kudhibiti midundo ya moyo isiyo ya kawaida… Continue reading BENJAMIN NETANYAHU KUFANYIWA UPASUAJI KUTOKANA NA TATIZO LA NGIRI

VERYDARKMAN RELEASED FROM POLICE DETENTION

OUR STAR 🌟 Popular critic, Vincent Otse alias Verydarkman has been reportedly released from police detention. This comes after he was arrested on the 22nd of March for allegations bordering on reportedly Cyberbullying. Gistreel recalls that prior to his arrest, the social media critic had an intense online fight with the controversial crossdresser, Bobrisky. It… Continue reading VERYDARKMAN RELEASED FROM POLICE DETENTION

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner