16 IMPORTANT THINGS COUPLES SADLY STOP DOING WHEN THEY GET MARRIED

LOVE ❤ 1. SAYING I LOVE YOU It is sad that it is difficult for couples married for years to tell each other ‘I love you’ yet when they were dating those three words were spoken so easily 2. PRAYING TOGETHER When a man and woman start dating, they often tend to involve God. They… Continue reading 16 IMPORTANT THINGS COUPLES SADLY STOP DOING WHEN THEY GET MARRIED

UKWELI KUHUSU UJENZI WA BARABARA MKOA WA MARA

MAKALA Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha miradi mitatu ya ujenzi wa barabara zenye jumla ya kilomita 111.4 mkoani Mara. Miradi hiyo ni ujenzi kwa kiwango cha lami Barabara ya Nyamuswa – Bunda-Bulamba (km 56.4), Makutano Juu- Sanzante (km 50) pamoja na barabara… Continue reading UKWELI KUHUSU UJENZI WA BARABARA MKOA WA MARA

KEVIN DE BRUYNE AACHWA UBELGIJI

MICHEZO Kevin De Bruyne ameachwa nje ya kikosi cha Ubelgiji kwa ajili ya mechi za kimataifa baada ya kupata majeraha ya nyonga. Akiwa amekosa miezi minne ya kampeni kutokana na jeraha la msuli wa paja, De Bruyne amekuwa katika hali nzuri tangu arejee Januari na sasa ana asisti 13 katika mechi 14 za mashindano yote… Continue reading KEVIN DE BRUYNE AACHWA UBELGIJI

TOP 60 MILITARY MOVIES OF ALL TIME

1.Saving Private Ryan (1998)2. Apocalypse Now (1979)3. Full Metal Jacket (1987)4. Platoon (1986)5. Black Hawk Down (2001)6. Das Boot (1981)7. The Thin Red Line (1998)8. Paths of Glory (1957)9. Hacksaw Ridge (2016)10. 1917 (2019)11. Dunkirk (2017)12. Patton (1970)13. Gallipoli (1981)14. We Were Soldiers (2002)15. Bridge on the River Kwai (1957)16. The Deer Hunter (1978)17. The… Continue reading TOP 60 MILITARY MOVIES OF ALL TIME

34 SECRETS OF OUTSTANDING AND FLOURISHING FAMILYimg

LOVE ❤ 1. They pray together.3. They eat together.3. They trust each other.4. They live with one mind.5. They pursue one vision.6. They raise children in the fear of God.7. They are open hearted.8. They share the pains of each other.9. They bath together.10. They laugh together.11. They advice each other.12. They overlook one another’s… Continue reading 34 SECRETS OF OUTSTANDING AND FLOURISHING FAMILYimg

WATU SITA WAKAMATWA MAUAJI YA RAPA A.K.A

MICHEZO Jeshi la Polisi Afrika Kusini limekamata watuhumiwa sita wa mauaji ya rapper Kiernan “AKA” Forbes, aliyeuawa kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa huko Durban, Februari 10, 2023. Watuhumiwa wawili walikuwa na bunduki, wawili walipanga njama ya mauaji, na wengine wameshikwa nchini jirani ya Eswatini. Polisi, pamoja na Interpol na Eswatini, wanafanya kazi kuwarejesha watuhumiwa… Continue reading WATU SITA WAKAMATWA MAUAJI YA RAPA A.K.A

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner