BENKI KUU YA TANZANIA IMEPIGA MARUFUKU KUWEKA PESA SEHEMU ZA SIRI

HABARI KUU BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeonya watu ambao wamekuwa na tabia ya kuhifadhi fedha kwenye maziwa, soksi, chini ya magunia na kufunga fundo kwenye kanga, ikisisitiza kunafedhehesha fedha ya Tanzania. Pia imepiga marufuku fedha kuhifadhiwa sehemu za siri pamoja na kutengenezwa mataji kwenye sherehe, atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria kwa kuwa vitendo hivyo… Continue reading BENKI KUU YA TANZANIA IMEPIGA MARUFUKU KUWEKA PESA SEHEMU ZA SIRI

ALEX IWOBI ASHAMBULIWA

MICHEZO Baadhi ya mashabiki wamekuwa wakimsakama , Alex Iwobi (27) ,kwenye mitandao ya kijamii ,wakimlaumu kwasababu ya timu yao ya taifa kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya mwenyeji Côte d’ivoire. Alex Iwobi, ambaye alitolewa uwanjani dakika ya 79 na mchezaji mwenzake Alhassan Yusuf kuchukua nafasi yake. Kutokana na mashambulio kwenye mitandao hiyo ya kijamii, Mchezaji… Continue reading ALEX IWOBI ASHAMBULIWA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner