WANAOZALIWA NA JINSIA MBILI KUPATIWA MATIBABU HAYA

AFYA Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye jinsia mbili bali wawapeleke hospitali ili waweze kupata huduma mapema kwa kuwa tatizo hilo linatibika. Waziri Ummy amesema hayo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa tatu wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Urolojia Tanzania (TAUS) unaofanyika Jijini Dar Es… Continue reading WANAOZALIWA NA JINSIA MBILI KUPATIWA MATIBABU HAYA

USAFIRI KWENDA KIGAMBONI WASIMAMISHWA KWA MUDA

HABARI KUU Watumiaji wa kivuko cha Magogoni MV Kigamboni na wananchi kwa ujumla wanaarifiwa kuwa Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa Tarehe 07 Juni, 2024. Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imebainisha kuwa Kivuko hicho kinasimama kutoa huduma kwa ajili ya kwenda… Continue reading USAFIRI KWENDA KIGAMBONI WASIMAMISHWA KWA MUDA

WHY SOME PEOPLE DON’T ENJOY SEX

14..SAME OLD ROUTINEBoredom eventually makes you get tired of sex, sex shouldn’t always be predictable. Be creative in bed, your sexlife depends on it.

RISK OF HAVING SEX EVERYDAY

LOVE TIPS ❤ 1. PAIN IN THE PENISyou can develop a sore penis as a result of daily sex and ejaculation. This can cause discomfort while walking. Having sex everyday can put a lot of strain on the vagina and this can lead to vaginal dryness, vaginal tears and burns. This can make walking and… Continue reading RISK OF HAVING SEX EVERYDAY

What to do when your husband doesn’t want to have sex with you

LOVE TIPS ❤ 1. CHECK YOUR ATTITUDENo matter how sexy you are or dress, if you have a bad attitude, your husband will struggle to desire you. If you are ever complaining, negative, bitter, cold; he will keep off 2. CHECK HIS STRESS LEVELSSex starts in the mind. When a man is mentally strained, his… Continue reading What to do when your husband doesn’t want to have sex with you

DIAMOND ANAUA MZIKI WETU MAKUSUDI

MAKALA –Kwa miaka mingi sana tumekuwa tukimtazama Sana diamond platnumz kuwa ndio msanii pekee mwenye mabavu ya kuufanya mziki wetu kufika kimataifa imekuwa tofauti na mtazamo yetu. Siku hizi diamond platnumz amekuwa msanii wa kisujudia radha ya mziki wa Amapiano na kuitupa mbali Bongo Fleva, Kwa muktadha huo inamaanisha diamond platnumz ameamua kutusaliti sisi watanzania… Continue reading DIAMOND ANAUA MZIKI WETU MAKUSUDI

KOCHA MARC BRYS ALAMBA MKATABA WA MIAKA MIWILI

MICHEZO Kocha Marc Brys amesaini Mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuinoa timu ya taifa ya Cameroon. Katika hafla ya utiaji saini kati ya Kocha Mpya na Wizara ya Michezo, haikuweza kuhudhuriwa na Rais wa Shirikisho la soka nchini humo Samuel Eto’o. Katika taarifa iliyotolewa wiki iliyopita, Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon,… Continue reading KOCHA MARC BRYS ALAMBA MKATABA WA MIAKA MIWILI

BASSIROU DIOMAYE FAYE AAPISHWA RASMI KUWA RAIS WA SENEGAL

NYOTA WETU Mwanasiasa wa mrengo wa kushoto, Bassirou Diomaye Faye, ameapishwa hii leo kuwa rais wa tano wa Senegal na kuahidi mabadiliko ya kimfumo, uhuru na utulivu baada ya miaka kadhaa ya machafuko. Sherehe za kuapishwa kwake zimefanyika katika mji mpya wa Diamniadio, karibu na mji mkuu Dakar. Faye mwenye umri wa miaka 44, ambaye… Continue reading BASSIROU DIOMAYE FAYE AAPISHWA RASMI KUWA RAIS WA SENEGAL

WAZIRI MKUU AONYA MATUMIZI YA BANGI NA SKANKA

HABARI KUU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mbio za Mwenge mwaka huu zitaendelea kutoa hamasa kwa jamii kusitisha biashara na matumizi ya dawa za kulevya kwani bangi na mirungi zimeendelea kutumika kwa wingi. Amesema vijana wamekuwa wakitumia aina nyingine ya bangi yenye kiasi kikubwa cha kilevi inayofahamika kama ‘Cha Arusha’ na ‘Skanka’. Akizungumza leo Aprili… Continue reading WAZIRI MKUU AONYA MATUMIZI YA BANGI NA SKANKA

TIMI DAKOLO AND WIFE,BUSOLA MARK 12 WEDDINGS ANNIVERSARY

OUR STAR 🌟 Renowned gospel singer, Timi Dakolo celebrates his 12th wedding anniversary alongside his beloved wife, Busola Dakolo. Their twelve-year journey together has been characterized by love, resilience, and mutual support. Despite life’s challenges, they have stood by each other as steadfast companions, nurturing a bond that only grows stronger with time. In an… Continue reading TIMI DAKOLO AND WIFE,BUSOLA MARK 12 WEDDINGS ANNIVERSARY

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner